Kumega au kumegwa mwezini

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Hi,
Kuna madhara gani ya kumega au kumegwa wakati 'mamsapu' akiwa mwezini (ndani ya zile siku 3-5 za rangi nyekundu)....
 
Hi,
Kuna madhara gani ya kumega au kumegwa wakati 'mamsapu' akiwa mwezini (ndani ya zile siku 3-5 za rangi nyekundu)....

Mkulu, kuna kidude cha kusearch hapa nadhani mambo haya ni kwa JF dokta.

hapa wapwa na mabinamu watakwambia ni abomination. Ukiikosa kabisa basi uje uulize lakini kule kule kwenye jukwaa husika

senks
 
jamani!. vitu vingine vinatia hadi kinyaa kuvidiskazi.
hebu heshimu mambo ya kina mama mkuu, hii kitu si vyema kimaadili kuiongelea hapa, Loh.
hivi zile........
aaaarrrrggghhhh naona hata hasira kuandika.
 
Kaka punguza munkari si wote wanafocus kama wewe tumetofautiana mkuu
 
jamani!. vitu vingine vinatia hadi kinyaa kuvidiskazi.
hebu heshimu mambo ya kina mama mkuu, hii kitu si vyema kimaadili kuiongelea hapa, Loh.
hivi zile........
aaaarrrrggghhhh naona hata hasira kuandika.

Nakwambia..... yaani we hebu imagine ...sitaki hata kufikiria.....mscheeeew!!
 
Valid question...

Dont run from your shadows. Ours is a real world where stuff happens. You are better off informed and do the right thing than just run away from things... Be more informed, do the right thing:

Is it Possible to Have Sex During Menstruation: http://www.articlesbase.com/relatio...e-to-have-sex-during-menstruation-413491.html

...This is a topic that society has made a taboo. It is forbidden in many cultures. Even without these societal norms in place, many people will simply be disgusted and loathed by the very idea of playing the game in her muddy field. They would rather wait until she is out of her periods in order to have sex. Many people nonetheless engage in sex during menstruation and confesses to having enjoyed it tremendously. Even professionals from the medical field say there are health benefits to be accrued from sex during menstruation. Many people are used to the beaten track, but sex during menstruation is still a virgin destination that is less explored...
 
Hi,
Kuna madhara gani ya kumega au kumegwa wakati 'mamsapu' akiwa mwezini (ndani ya zile siku 3-5 za rangi nyekundu)....
Unaposema mwezini unamaanisha nini?au ni ktk ule mpambano wanaouchezesha kila mwezi wa Simba na Pamba?mimi sijui kama ina madhara ninachojua ni kwamba watu wanaogopa uchafu tuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom