Duh ila sio siri wakuu sura ya kibaki inatisha aisee.............
nimeipenda hii, hadi viatu, bado kumechisha maendeleo.. picha michuzi blog
Yeah...kama hiyo ya M7 yaani mpaka inatisha!mikono ya kazi hiyo
sio mayai ila sijui kama wanashika jembe
Duh ila sio siri wakuu sura ya kibaki inatisha aisee.............
Umeipenda heee!!JK simp.............ila viatu kafunika mbaya mbovu aisee
Is it!this is very strange to me!kuvaa suti za kufanana kwa viongozi wa kitaifa huonyesha mnakubaliana mambo fulani ila ukiangalia tai zinaonyesha kutofautiana hii inaonyesha hawaafikiani kwenye mambo madogo madogo
muone kabila yuko tofauti sana hii inamuonyesha msimamo ni tofauti endapo mnakubaliana kila kitu mtavaa sare tai ,suti , mashati ,nk.kumbuka safari ya mh.pinda thailand alivaa suti wenyeji wake wakamzuia kama anakubaliana na protocol ya nchi ile avae kama wao .ilibidi vazi linunuliwe haraka .mh alivyorejea nchini akaja na mpango wa vazi la taifa lianzishwe .Is it!this is very strange to me!