Kumechisha suti. JK na Mzee Mwaikibaki,

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,446
2,490
nimeipenda hii, hadi viatu, bado kumechisha maendeleo.. picha michuzi blog
8E9U8482.JPG
 
wanaishia kupiga picha tuuuuuu ilihali wananchi wanakufa kwa vita!!.....................................................................................................aggggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.....
 
Duh ila sio siri wakuu sura ya kibaki inatisha aisee.............

Ni utu uzima tu, hata wewe utakapozeeka uatapata sura ya kutisha, na wajukuu wanaweza kukukimbia; na baadhi ya majirani wataweza kukuita mchawi. Ni mapito ya maisha tu ndugu yangu. Lakini kumbuka, ng'ombe hazeeki maini.
 
kuvaa suti za kufanana kwa viongozi wa kitaifa huonyesha mnakubaliana mambo fulani ila ukiangalia tai zinaonyesha kutofautiana hii inaonyesha hawaafikiani kwenye mambo madogo madogo
 
kuvaa suti za kufanana kwa viongozi wa kitaifa huonyesha mnakubaliana mambo fulani ila ukiangalia tai zinaonyesha kutofautiana hii inaonyesha hawaafikiani kwenye mambo madogo madogo
Is it!this is very strange to me!
 
Is it!this is very strange to me!
muone kabila yuko tofauti sana hii inamuonyesha msimamo ni tofauti endapo mnakubaliana kila kitu mtavaa sare tai ,suti , mashati ,nk.kumbuka safari ya mh.pinda thailand alivaa suti wenyeji wake wakamzuia kama anakubaliana na protocol ya nchi ile avae kama wao .ilibidi vazi linunuliwe haraka .mh alivyorejea nchini akaja na mpango wa vazi la taifa lianzishwe .
 
Back
Top Bottom