Kume NAO MP Wanakunywaga, Msemeeni kwa Bosi wake

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
557336_211641852295948_1341297232_n.jpg
 
Bila shaka haya yote ni kwa ajili ya mshiko kutoingia katika account ipasavyo na majibu ndiyo kama hivyo!

Huyo ndiyo MP= Military Police!
 
Dah jamaa kajisahau kabisaaa! ulevi ni ugonjwa. hapo ni mwajiriwa anakinywa kiroba akistaafu atajunywa nini? tsfsksri chukua hatua.:target:
 
KUnywa sio tatizo, especially kama imani inamruhusu. Tatizo hapa ni kunywa ukiwa ndani ya uniform! That is a very big misconduct! Anapaswa awekwe ndani, kisha apewe lindo kwa siku 7 - hang over itamtoka yote.
 
kwani si hawana kazi hao?lao kupiga watu tuu mitaani.wapelekwe kwenda kuwapiga m23 tuone kama wataweza
 
Wana JF nadhani mnajua kwamba ndio tumeshamfukuzisha kazi huyu MP kwa kutundika picha yake hapa.

heshima ya kazi mkuu, watanzania ni wachache sana wenye kuheshimu kazi zao, ninavyojua mwanajeshi muda wote uwapokuwa kwenye sare ni kwamba uko kazi, hapa nikushindwa kuwa na nidhamu ya kazi.
 
Dada Joice anajua hayo yote, ndio mana bado 'kakomaa'.
Anajua ushindi kwake ni rahisi kabisa.
Vita ikianza tu, anagawa konyagi, ... then vita imekwisha !!!

Chezeya JWTZ, juzi walikua wanafanya zoezi huko Ruvuma karibu na ziwa Nyasa na operation waliita Komboa Ziwa Nyasa....yote Berth hiyo kumpa jamba jamba tu Joyce...
 

Mbuzi mzee, mbona umefanya duka la picha? Sijui la adobe!!

Ona rangi ya shingo na uso na mikono zilivyo kama za aspirin. Halafu ukubwa na mkao wa sikio mhhhh, sisemi sana. Pia uwiano wa kichwa hata kama anauchogo lakini hapo usawa wa sikio kuna artficial uumbaji umefanyika.

Ila we mbayaaa....we mbayaas... yaani jinsi ulivyoipachika hiyo lebo ya MP unajua kweli; yaanipq mke wa riafande alikuwa anafua sana kwa juu mpaka inafumuka vinyuzinyuzi ila kwa chini safi, duh!! We mbaya.... lebo inakimbia kifungo.... duh Mzee we mbayaaa!!!!
 
Ni wa nchi gani huyu, Mkuu ungefanya picture doctoring, akamficha uso. Sasa angalia utasababisha awekwe lindo siku 7 !!!

Mi nafikiri anaweza kusababisha nipigwe ban nitakaposema sura kafanana na Max Mel.. ila bado sijasema.
 
Dah komredi vipi komredi? Ndo maana tuna mess zetu tunamalizia mambo kule sio mtaani huku ONA sasa wamekufotoa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom