Wana JF nadhani mnajua kwamba ndio tumeshamfukuzisha kazi huyu MP kwa kutundika picha yake hapa.
:confused2::confused2::confused2:
I hope that old JOYCE is not seeing this
Dada Joice anajua hayo yote, ndio mana bado 'kakomaa'.
Anajua ushindi kwake ni rahisi kabisa.
Vita ikianza tu, anagawa konyaji, ... then vita imekwisha !!!
Dada Joice anajua hayo yote, ndio mana bado 'kakomaa'.
Anajua ushindi kwake ni rahisi kabisa.
Vita ikianza tu, anagawa konyagi, ... then vita imekwisha !!!
Ni wa nchi gani huyu, Mkuu ungefanya picture doctoring, akamficha uso. Sasa angalia utasababisha awekwe lindo siku 7 !!!