Kume NAO MP Wanakunywaga, Msemeeni kwa Bosi wake

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
11,036
Points
1,250

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
11,036 1,250
Bila shaka haya yote ni kwa ajili ya mshiko kutoingia katika account ipasavyo na majibu ndiyo kama hivyo!

Huyo ndiyo MP= Military Police!
 

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Messages
5,141
Points
1,500

kbm

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2012
5,141 1,500
Wana JF nadhani mnajua kwamba ndio tumeshamfukuzisha kazi huyu MP kwa kutundika picha yake hapa.
heshima ya kazi mkuu, watanzania ni wachache sana wenye kuheshimu kazi zao, ninavyojua mwanajeshi muda wote uwapokuwa kwenye sare ni kwamba uko kazi, hapa nikushindwa kuwa na nidhamu ya kazi.
 

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
52,986
Points
2,000

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
52,986 2,000
Dada Joice anajua hayo yote, ndio mana bado 'kakomaa'.
Anajua ushindi kwake ni rahisi kabisa.
Vita ikianza tu, anagawa konyagi, ... then vita imekwisha !!!
Chezeya JWTZ, juzi walikua wanafanya zoezi huko Ruvuma karibu na ziwa Nyasa na operation waliita Komboa Ziwa Nyasa....yote Berth hiyo kumpa jamba jamba tu Joyce...
 

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Messages
1,930
Points
1,500

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
Joined May 23, 2008
1,930 1,500
Mbuzi mzee, mbona umefanya duka la picha? Sijui la adobe!!

Ona rangi ya shingo na uso na mikono zilivyo kama za aspirin. Halafu ukubwa na mkao wa sikio mhhhh, sisemi sana. Pia uwiano wa kichwa hata kama anauchogo lakini hapo usawa wa sikio kuna artficial uumbaji umefanyika.

Ila we mbayaaa....we mbayaas... yaani jinsi ulivyoipachika hiyo lebo ya MP unajua kweli; yaanipq mke wa riafande alikuwa anafua sana kwa juu mpaka inafumuka vinyuzinyuzi ila kwa chini safi, duh!! We mbaya.... lebo inakimbia kifungo.... duh Mzee we mbayaaa!!!!
 

gobore

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2009
Messages
729
Points
195

gobore

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2009
729 195
Dah komredi vipi komredi? Ndo maana tuna mess zetu tunamalizia mambo kule sio mtaani huku ONA sasa wamekufotoa...
 

Forum statistics

Threads 1,390,154
Members 528,096
Posts 34,044,102
Top