Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,691
- 149,916
Hawa jamaa wako tayari kufanya lolote ili mradi tu wabaki madarakani.Katika kutimiza hilo,wanaweza kabisa kuingiza kipengele kwenye Katiba inayopendekezwa ambacho kitazuia watu wenye umri mkubwa kugombea urais.
Nchi hii kila kitu kinawezekana mradi tu kiwe na maslahi kwa watu fulani au chama chao.Sometimes hata kwa lengo la kukomoa tu.
Mh.Lowassa kwa sasa ni vizuri tu kama utakaa kimya mpaka wakati muafaka ufike.