Kumdharau mteule wa Rais ni sawa na kumdharau Rais aliyemteua

mcoloo

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
918
1,401
Ndiyo lazima Ndugai ajiuzulu.
Kwa kitendo cha kumdharau mteule wa Rais ni sawa pia kuwa umemdharau Rais aliye mteua.

Hii tabia ya kujipendekeza ni mbaya sana, Job amejipendekeza kwa Mh hadi akapitiliza na kumfanyia dharau Mh. Na laiti huyu jamaa angekuwa anafanya kazi na watu kama Musaba yule wa Uganda angemfukuza haraka sana na huwenda angekuwa ana ozea lupango saa hizi.

Haiwezekani ukamfanya Rais wetu mpendwa kama mtu asiye muelewa kwa kumteua prof Mussa Assad kuwa CAG.
Wakati umefika wa Ndugai kuchunguzwa kuwa haya anayo yafanya anayafanya kwa maslahi ya nani.

Na ndio maana nina sema Job Ndugai must go out.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'...Niliona Mapema dalili Za kutokaribishwa Bungeni Na Kama Mimi sikukaribishwa Bungeni Hakuna Mtu wa Ofisi yangu anaweza kwenda Bungeni kwa Niaba ya Ofisi ...'

'...Lakin kwa kufanyia Hapa Mkutano wetu maana yake tuna full over control ya Mkutano huu nanyi Waandishi msipotoa habari Hii sisi wenyewe tutasambaza Taarifa hii...'
Maneno haya ya Assad inabidi Bunge iyasome vyema kwa Kuwa Ni majibu tosha dhidi ya Azimio Lao
 
'...Niliona Mapema dalili Za kutokaribishwa Bungeni Na Kama Mimi sikukaribishwa Bungeni Hakuna Mtu wa Ofisi yangu anaweza kwenda Bungeni kwa Niaba ya Ofisi ...'

Maneno haya ya Assad inabidi Bunge iyasome vyema kwa Kuwa Ni majibu tosha dhidi ya Azimio Lao
Yanahuzunisha sana
 
Amuulize nape nnauye kilichompata, shauri yake mgoja JPM aanze ziara za kichama ataenda kumtumbulia hukohuko kwenye chama shauri yake
 
'...Niliona Mapema dalili Za kutokaribishwa Bungeni Na Kama Mimi sikukaribishwa Bungeni Hakuna Mtu wa Ofisi yangu anaweza kwenda Bungeni kwa Niaba ya Ofisi ...'

Maneno haya ya Assad inabidi Bunge iyasome vyema kwa Kuwa Ni majibu tosha dhidi ya Azimio Lao
Jamani haya ni majibu kweli ya uvccm au akaunti imevamiwa na cuf ya lipumba
 
Ndiyo lazima Ndugai ajiuzulu.
Kwa kitendo cha kumdharau mteule wa Rais ni sawa pia kuwa umemdharau Rais aliye mteua.
Hii tabia ya kujipendekeza ni mbaya sana, Job amejipendekeza kwa Mh hadi akapitiliza na kumfanyia dharau Mh. Na laiti huyu jamaa angekuwa anafanya kazi na watu kama Musaba yule wa Uganda angemfukuza haraka sana na huwenda angekuwa ana ozea lupango saa hizi.
Haiwezekani ukamfanya Rais wetu mpendwa kama mtu asiye muelewa kwa kumteua prof Mussa Assad kuwa CAG.
Wakati umefika wa Ndugai kuchunguzwa kuwa haya anayo yafanya anayafanya kwa maslahi ya nani.
Na ndio maana nina sema Job Ndugai must go out.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo rais musaba ana mamlaka ya kumtoa speaker ?

CCM wameharibu sana akili za watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom