Uchaguzi 2020 Kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais ni kuikabidhi Tanzania kwa Mabeberu. Tusifanye kosa twende na John Pombe Magufuli

Hahaha Leo Lumumba hali si hali. Mnahamisha tu magoli. Na jiandaeni tu kumkabidhi nchi mwana wa Singida, mtoto wa Ilboru, Tundu Antipas Lissu
Mkuu jipe moyo kwa hilo. Lakini wenzio wakiongozwa na huyo Tundu wenu wanajua watashindwa vibaya na mwamba JPM na kwa kuficha hiyo aibu wameanza kuweka visingizio vya kuibiwa kura.
 
Tumeshawazoea maneno yenu. Wa mitandaoni ndo tulijitokeza kwa maelfu kumpokea airport tarehe 27 na kama message nauhakika mliipata hakika

Kamwe hatuwezi kuwa na amiri jeshi wa vile. Atakagua vipi gwaride la makamanda wetu wakakamavu. Elewa ulemavu wa kiongozi ni ulemavu wa nchi anayoiongoza. Tuna akili timamu hatuwezi kulemaza nchi yetu kwa kumchagua Lissu
 
Mitano kwa Jiwe INATOSHA.

Kwa miaka hii mitano tu, zaidi ya trilioni 2.5 HAZIJULIKANI ZILIPO. Pesa hizo ni zaidi ya wizi wote uliofanyika kwa awamu zote tangu tulipopata uhuru, ujasiri wa kupamba na kusifu MHALIFU wa kiwango hicho unautoa wapi Mkuu?
Hizo ndege ananunulia ela ya baba yako? Bwana la umeme ajengea fedha yako? reli anajengea fedha yako? dodoma imejengwa na fedha ya baba yako? kijana acha maneno ya kuokoteza, hivi unajua fedha tilioni 2.5 au unabwabwaja tu, watu wakati enzi za Kikwete waliiba fedha za escow bilion 230 walikuwa wanasomba kwa viroba Kwa mjibu wa bunge, sembuse tilioni, eti nyinyi mnalilia uhuru wa habari, hapa ukiulizwa eleza vizuri Kwa ushindi, unaanza hii serikali ya dicteita kumbe wewe mwenyewe unaandika usiyo yajua mradi una smart na unajua kuandika.

Haya tueleze kidogo hizo ela zimefichwa benki hipi hapa Tanzania au nje ya nchi?. Tujifunze kutumia uhuru wa kutoa maoni, siyo haya ambayo hayana ushaidi . Sema siku hizi jamii forums kumejaa utoto mwingi, jamii forums ilikuwa enzi za kina mwanakikiji, mkulima masikini, sasahivi angarau amebaki Pasco kidogo enzi za akina mwanakikiji mtu akiweka bandiko anabandika na ushaidi, hata hukipinga ukweli unabaki nao moyoni, sio hizi takataka za siku hizi.
 
Lissu hafai kuwa Rais wa nchi hii, Ubunge ndio ilikuwa level yake ya juu na ya mwisho.

Kumbukeni alikuwa kwenye matibabu huko ughaibuni mara alipopata nafuu, kazi yake ilikuwa kuzungumza mambo ya hovyo sana, kutaka nchi iwekewe vikwazo, kukubali kuruhusu ndoa za jinsia moja, alifanya mambo ya fedheha sana

Wazungu walimsikiliza wakaona huyu ni bogus kabisa, ndio maana pamoja na kelele zake na maombi yake hayakuwa na impact yoyote.

Mtaji aliobakia nao kwa sasa ni kupata kura za huruma kwa risasi zilizompata

Pia system haiwezi kukabidhi nchi kwa mtu anayetetea mapenzi ya jinsia moja na msaliti,

Namuonea huruma sana, kwa maana baada ya uchaguzi atapotea kwenye ulingo wa siasa kiki hazitakuwepo na Bunge ndio lilikuwa linampa kiki miaka mitano sio mchezo
Kwani mabeberu waliokwapua madini yetu tangu mwaka 1995 mpaka leo, waliouza vitalu vyetu kwa "mabeberu" na kwa waliopiga dili za Richmond,Escrow na upotevu wa 1.5Trillion (kama ilivyoainishwa na CAG waliyemfukuza) ni akina TUNDU LISSU?

Endeleeni kuwadanganya wajinga, lakini wanaomfahamu Lissu (kabla na baada ya kuwa mbunge) wanajua moyo wake wa dhati kabisa katika kutetea maslahi ya nchi hii, alianza kupiga kelele juu ya ufujaji wa rasirimali zetu tangu enzi za Mkapa mpaka leo...
 
Hizo ndege ananunulia ela ya baba yako? Bwana la umeme ajengea fedha yako? reli anajengea fedha yako? dodoma imejengwa na fedha ya baba yako? kijana acha maneno ya kuokoteza, hivi unajua fedha tilioni 2.5 au unabwabwaja tu, watu wakati enzi za Kikwete waliiba fedha za escow bilion 230 walikuwa wanasomba kwa viroba Kwa mjibu wa bunge, sembuse tilioni, eti nyinyi mnalilia uhuru wa habari, hapa ukiulizwa eleza vizuri Kwa ushindi, unaanza hii serikali ya dicteita kumbe wewe mwenyewe unaandika usiyo yajua mradi una smart na unajua kuandika. Haya tueleze kidogo hizo ela zimefichwa benki hipi hapa Tanzania au nje ya nchi?. Tujifunze kutumia uhuru wa kutoa maoni, siyo haya ambayo hayana ushaidi . Sema siku hizi jamii forums kumejaa utoto mwingi, jamii forums ilikuwa enzi za kina mwanakikiji, mkulima masikini, sasahivi angarau amebaki Pasco kidogo enzi za akina mwanakikiji mtu akiweka bandiko anabandika na ushaidi, hata hukipinga ukweli unabaki nao moyoni, sio hizi takataka za siku hizi.
Mtumishi wa leo kiukweli jukwaa limevamiwa
 
Mtoa mada kuwa serious, hivi unaanzaje kufikiria kuwa Watanzania watamchagua yule!?

Achana na mambo mengine yote, gwaride atakaguaje!?

Hivyo hii mada yako ingepaswa kuwa, Watanzania tusifanye makosa ya kumchagua JPM kwa kura chini ya asilimia 80 na badala yake JPM ashinde kwa kura asilimia 90 na zaidi. Mada yako ilipaswa kuwa hivyo.
hujafa hujaumbika!
 
Mtaimba sana taarabu Lisu hafai ila matokeo hapo Oct 28 ndiyo yataamua kati ya Tundu &
Magufuri nani anafaa.

Tulia kada wa Lumumba mtanyooka tu CDM ya 2020 sio ilee ya 2015
Lissu hafai kuwa Rais wa nchi hii, Ubunge ndio ilikuwa level yake ya juu na ya mwisho.

Kumbukeni alikuwa kwenye matibabu huko ughaibuni mara alipopata nafuu, kazi yake ilikuwa kuzungumza mambo ya hovyo sana, kutaka nchi iwekewe vikwazo, kukubali kuruhusu ndoa za jinsia moja, alifanya mambo ya fedheha sana

Wazungu walimsikiliza wakaona huyu ni bogus kabisa, ndio maana pamoja na kelele zake na maombi yake hayakuwa na impact yoyote.

Mtaji aliobakia nao kwa sasa ni kupata kura za huruma kwa risasi zilizompata

Pia system haiwezi kukabidhi nchi kwa mtu anayetetea mapenzi ya jinsia moja na msaliti kwa taifa lake,si mnakumbuka vitisho vyake na MIGA?,yako wapi?,tumeunda kampuni ya Twiga minerals Tanzania kwa ubia ambao unalinufaisha taifa, kongole Rais Magufuli.

Namuonea huruma sana, kwa maana baada ya uchaguzi atapotea kwenye ulingo wa siasa, kiki hazitakuwepo , Bunge ndio lilikuwa linampa kiki, miaka mitano sio mchezo kukaa benchi
 
Hata sasa ipo chini ya mabeberu, wapi 1.5 T zetu?
 
Mtaimba sana taarabu Lisu hafai ila matokeo hapo Oct 28 ndiyo yataamua kati ya Tundu &
Magufuri nani anafaa.

Tulia kada wa Lumumba mtanyooka tu CDM ya 2020 sio ilee ya 2015
Mpaka mtazeeka mnabadili misemo tu,sizitaki hizi mbichi
 
Lissu hafai kuwa Rais wa nchi hii, Ubunge ndio ilikuwa level yake ya juu na ya mwisho.

Kumbukeni alikuwa kwenye matibabu huko ughaibuni mara alipopata nafuu, kazi yake ilikuwa kuzungumza mambo ya hovyo sana, kutaka nchi iwekewe vikwazo, kukubali kuruhusu ndoa za jinsia moja, alifanya mambo ya fedheha sana

Wazungu walimsikiliza wakaona huyu ni bogus kabisa, ndio maana pamoja na kelele zake na maombi yake hayakuwa na impact yoyote.

Mtaji aliobakia nao kwa sasa ni kupata kura za huruma kwa risasi zilizompata

Pia system haiwezi kukabidhi nchi kwa mtu anayetetea mapenzi ya jinsia moja na msaliti kwa taifa lake,si mnakumbuka vitisho vyake na MIGA?,yako wapi?,tumeunda kampuni ya Twiga minerals Tanzania kwa ubia ambao unalinufaisha taifa, kongole Rais Magufuli.

Namuonea huruma sana, kwa maana baada ya uchaguzi atapotea kwenye ulingo wa siasa, kiki hazitakuwepo , Bunge ndio lilikuwa linampa kiki, miaka mitano sio mchezo kukaa benchi
Hivi wakati tunapigwa kwenye deal ya rada,meremeta,escrow,mikataba mibovu ya madini,bomba la gesi,ni chama gani kilikuwa serikalini?
Uwe unatumia akili,waza kwa kutumia ubongo sio makamasi.
Geita,Kuna dhahabu,lakini ka mji kabovu ksbisa,fika kahama,nenda kalumwa,nenda kakola,uone umaskini wa wananchi ambao wamezungukwa na dhahabu na almasi,nchi hii imekuwa inaliwa na mabeberu tangu Nyerere afe.
Anaetunga mikataba na Sheria za madini,nj wabunge wa ccm,na serikali,sasa TL anaingiaje hapo,anaikabidhi vp nchi kwa mabeberu,wakati wamekuwa wanaitafuna tangu akiwa shule.
Ukiona wizi,ufisadi ,wa Mali ya umma,wote unafsnyika wakati ccm ipo Madarakani,that is fact,Chadema haijawahi kuchukua madaraka,usiwe mtabiri.
 
Hizo ndege ananunulia ela ya baba yako? Bwana la umeme ajengea fedha yako? reli anajengea fedha yako? dodoma imejengwa na fedha ya baba yako? kijana acha maneno ya kuokoteza, hivi unajua fedha tilioni 2.5 au unabwabwaja tu, watu wakati enzi za Kikwete waliiba fedha za escow bilion 230 walikuwa wanasomba kwa viroba Kwa mjibu wa bunge, sembuse tilioni, eti nyinyi mnalilia uhuru wa habari, hapa ukiulizwa eleza vizuri Kwa ushindi, unaanza hii serikali ya dicteita kumbe wewe mwenyewe unaandika usiyo yajua mradi una smart na unajua kuandika. Haya tueleze kidogo hizo ela zimefichwa benki hipi hapa Tanzania au nje ya nchi?. Tujifunze kutumia uhuru wa kutoa maoni, siyo haya ambayo hayana ushaidi . Sema siku hizi jamii forums kumejaa utoto mwingi, jamii forums ilikuwa enzi za kina mwanakikiji, mkulima masikini, sasahivi angarau amebaki Pasco kidogo enzi za akina mwanakikiji mtu akiweka bandiko anabandika na ushaidi, hata hukipinga ukweli unabaki nao moyoni, sio hizi takataka za siku hizi.
Kwani hizo pesa anazitoa mfukoni kwake? Hizo ni kodi zetu na pesa za Wafadhili, uwe na akili usiwe kama wale wenzio walioshindwa kujenga choo kule Rufiji.
 
Lissu hafai kuwa Rais wa nchi hii, Ubunge ndio ilikuwa level yake ya juu na ya mwisho.

Kumbukeni alikuwa kwenye matibabu huko ughaibuni mara alipopata nafuu, kazi yake ilikuwa kuzungumza mambo ya hovyo sana, kutaka nchi iwekewe vikwazo, kukubali kuruhusu ndoa za jinsia moja, alifanya mambo ya fedheha sana

Wazungu walimsikiliza wakaona huyu ni bogus kabisa, ndio maana pamoja na kelele zake na maombi yake hayakuwa na impact yoyote.

Mtaji aliobakia nao kwa sasa ni kupata kura za huruma kwa risasi zilizompata

Pia system haiwezi kukabidhi nchi kwa mtu anayetetea mapenzi ya jinsia moja na msaliti kwa taifa lake,si mnakumbuka vitisho vyake na MIGA?,yako wapi?,tumeunda kampuni ya Twiga minerals Tanzania kwa ubia ambao unalinufaisha taifa, kongole Rais Magufuli.

Namuonea huruma sana, kwa maana baada ya uchaguzi atapotea kwenye ulingo wa siasa, kiki hazitakuwepo , Bunge ndio lilikuwa linampa kiki, miaka mitano sio mchezo kukaa benchi
Ukweli wengine ni mijibwa koko msiofaa! Hivi kuna lipi la maana kipindi hiki zaidi ya maumivu na utumwa? Walio serikalini wanaogopa kutoka wamefungwa ni watumwa! Kwa mara ya kwanza watanzania utumwa umeletwa na mtanzania mwenzetu. Huyu si tu ni zaidi ya beberu ni kaburu mbaguzi wa kutisha huyu lazima aondoke!
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom