Kumbukumbu za nyerere tumkumbuke!

Mkandara

JF-Expert Member
Mar 3, 2006
15,772
8,958
Leo hii nadhani ni siku muafaka kujikumbusha mazuri na mabaya ya kiongozi wetu muasisi wa UHURU wetu hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ni wadhifu mkubwa kwa jukwaa hili kuitukuza siku hii kwa kuzungumzia mazuri ya mwalimu bila kufuru maana binadamu sote tulikuwa na mapungufu yetu..
Nyerere-Quote.jpg

- Dua zenu zitasaidia..
 
Back
Top Bottom