CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,469
Wewe boya naona unazidi kuharibikiwa tu! Nakuhurumia sana,vipi hukubahatika kumpata japo ulimwaga thd humu za kumtafuta mwenza?ondoa upuuzi wako hapa wewe mzee
Mkuu mpaka hilo Shanuo/Chanuo? Unajua teknolojia imevipoteza sana hivyo vifaa sehemu nyingi sana.Bado tunatumia hivyo vitu mkuu!!!
Mkuu mpaka hilo Shanuo/Chanuo? Unajua teknolojia imevipoteza sana hivyo vifaa sehemu nyingi sana.
Mkuu mpaka hilo Shanuo/Chanuo? Unajua teknolojia imevipoteza sana hivyo vifaa sehemu nyingi sana.
Hayo machanuo yamenikumbusha filimbi za mbao za wagogo
Hahahaa! Kweli aisee,ilikua unazikuta pale Stesheni kibaoo.Hayo machanuo yamenikumbusha filimbi za mbao za wagogo
safi
Nimetoka kumsukia mama jioni hii
Limevunjika but still useful
Na tembo na sungura mzee akienda bara basi hivyo vitu ni muhimu sana kukuletea vinginevyo inakuwa ugomviHahahaa! Kweli aisee,ilikua unazikuta pale Stesheni kibaoo.
Mkuu nakumbuka kuna vinyago vya ndege fulani walikua wanavitengeneza/wanavichonga kwa kutumia Pembe za wanyama, mfano inachukuliwa pembe ya Ng'ombe halafu hiyo pembe inachongwa na kua ni sanamu ya ndege kama vile Njiwa au Kware.Na tembo na sungura mzee akienda bara basi hivyo vitu ni muhimu sana kukuletea vinginevyo inakuwa ugomvi