Kumbukumbu yangu fupi ya Mohammed Seif Khatib

Distant...
Mzee.Jumbe hakuwahi kuzuiwa.
Mzee wangu Mohamed Said naitaji kukuona siku moja nami niweze kuchota mengi kwenye hilo ghala lako ambalo limesheheni weledi lukuki kupitia medani mbali mbali kuhusu Taifa hili!

Hongera sana maana umekuwa tunu kwa Taifa kutujuza haya yote ambayo mengi tulikuwa hatuyafahamu kabisa


Naomba mawasiliano yako mkuu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom