Kumbukumbu ya Watoto wa Mujini Walitutangulia Unamuongeza Nani?

Kamongo

JF-Expert Member
Mar 20, 2009
1,957
2,068
Kumbu kumbu ya watoto wa mujini waliotutangulia!! Unamuongeza nani??

Jamani kama mdau wa zamani natoa heshima ..kwa kaka Michu ..HILI chapisho lipo pale kwake nimeona nililete hapa seating room....samahani kama nimewakwaza ...lakini hiyo list imenikumbusha mbali sana waakati tunakula raha kuanzia Rungwe club,pink coco,Tazara,iMASCO,mbowe club,Legion ,gymkhana,Langata ,Wale wa Lango la jiji ,resort club-safari sound ,makondeko..jamani ni watu waliokuwa na roho nzuri sana .....iwe kwenye starehe , michezo au mambo ya kijamii.....

Ni wazi hapa tutapenda pia watu Kama FMES wachangie..kwani wanaweza kuongezea hii list kama kuna walio sahaulika ...au if we can share some of the moments za hawa washkaji kama kuwaenzi!

Kumbu kumbu itakuwa tarehe 11/12 PALE LEADERS CLUB!!!
RIP
http://issamichuzi.blogspot.com/2010/12/kumbukumbu-kwa-marehemu-marafiki.html#comments
 
Hao watoto wa mjini wametoa mchango gani kwenye nchi yetu,hiyo list kuna majambazi,wauza unga,malaya wazoefu,matapeli, walikuwa wanashinda SALAMANDER HOTEL dili zao za kitapeli,bia wanakunywa kwa mama Kutunguu,kimicho, kweli tz kuzuri hata ukiua ukifa unaheshimika,SISCO MTIRO NIMEKUKUBALI MUASISI WA TAMASHA HILI, UNAWAKUMBUKA RAFIKI ZAKO E.G RAY ABDUL,EDDY SALLY,SHABANI SATTO,ABDALLA MNYUSI,SHANI ASPROO
 
nusu ya hao celebrity wa enzi hizo wamekufa na ngoma,walikuwa wanambukiza wadada kwa makusudi, eg Juma Ngida, R Mjungu,Shabani Satto, etc leo mnawaona mashujaa,, wabongo wapuuzi sana, Shani Asproo
 
ni bora ungesema tuwakumbuke watu kam hamisi gaga,Kizota,R lenny,Sembuli,Rafael Paul,Juma Mkambi
 
SISQO ndiye kaandaa hilo tamasha wa wajinga wenzake wanakunywa bia pale Octo Pub,badala ya kufikiria katiba mpya wanawaza upuuzi,
 
Yafuatayo ni majina ya marehemu tunao wakumbuka: -(walitoa Mchango kwa Tanganyika)
1
Ada Sykes
2
Angela Madondola
3
Balozi Mbapila
4
Ben Branco
5
Bisanga Mshamu
6
Bupe
7
Chacha Marwa Boghas
8
Charles Lyimo
9
Charles Mbandwa
10
Choggy Sly
11
Costa Teffe
12
Eddy (Inn By The Sea)
13
Eddy Sally
14
Emmanuel Rweikiza
15
Eugine Kagolo
16
Farida Masoli
17
Frank Mutani
18
Four Cash
19
Gasper Akili
20
Geofrey Dahal
21
George Mazulla
22
Haji (Tanga)
23
Hamphrey Akena
24
Hilda (Naomba 100)
25
Ippy Malecela
26
Jimmy Mahimbo
27
Joshua International
28
Juma Ngida
29
Kalio
30
Karuhinda
31
Ndalla Kasheba
32
Kimambi
33
Kimambo NCCR
34
Levis (G8)
35
Majuto Tazara
36
Manfred Kapinga
37
DJ Mangappy
38
Mariam Donna Summer
39
Mavalla
40
Mbiku
41
Mfanga
42
Mike Maro
43
Mine
44
Mr. Emanuel Mbando
45
Mr. Labarny
46
Mussa Ngoda
47
Mzee Assey
48
Mzee Bashwan
49
Mzee Joseph
50
Mzee Khatib Siraji
51
Mzee Mujaya
52
Mzee Mushi
53
Mzee Samuel
54
Mzee Shetta
55
Mzee Soud
56
Mzee Tegissa
57
Mzee Yusuf Mandevu
58
Nassor Malocho
59
Ndealle Makere
60
Ng'itu
61
Nusura
62
Omary Sykes
63
Omary Urembo
64
Othman Maraha
65
Othman Matusi
66
Othman Rungu (Matai)
67
Pettie
68
PJ (Paul Mdachi)
69
Rajab Mwajasho
70
Ramadhan Majungu
71
Ray Abdu Adedeji.
72
Rhoda Mbandwa
73
Rose Hosea (Mwajasho)
74
Royal (Dotto)
75
Royal (Kulwa)
76
Rukia Mwajasho
77
Saad Suleiman (Tazara)
78
Saidi Machupi
79
Sanga
80
Shaaban Satto 'Shebby B'
81
Shaan Aspro
82
Super Mafuru
83
Tecla (TAZARA CLUB Staff)
84
Temu Tuffe
85
Tina Mzena
86
Tomito
87
Winston
88
Zaki Aman
89
Zumu
MUNGU AWALAZE MAHALA PEMA PEPONI WOTE WALIOTANGULIA
"AMEN"
 
SISQO ndiye kaandaa hilo tamasha wa wajinga wenzake wanakunywa bia pale Octo Pub,badala ya kufikiria katiba mpya wanawaza upuuzi,

Mkuu punguza ghazabu maana nimecheka karibu mbavu zivunjike. Huu utoto wa mjini huu ndani yake umebeba kila aina ya takataka. Siyo mbaya tukumbuke vibweka vya waliotangulia mbele ya haki,Lol
 
Back
Top Bottom