Kumbukumbu ya watoto wa mujini waliotutangulia! Unamuongeza nani?

Phillemon Mikael

Platinum Member
Nov 5, 2006
10,518
8,583
Jamani kama mdau wa zamani natoa heshima ..kwa kaka Michu ..HILI chapisho lipo pale kwake nimeona nililete hapa seating room....samahani kama nimewakwaza ...lakini hiyo list imenikumbusha mbali sana waakati tunakula raha kuanzia Rungwe club,pink coco,Tazara,iMASCO,mbowe club,Legion ,gymkhana,Langata ,Wale wa Lango la jiji ,resort club-safari sound ,makondeko..jamani ni watu waliokuwa na roho nzuri sana .....iwe kwenye starehe , michezo au mambo ya kijamii.....

Ni wazi hapa tutapenda pia watu Kama FMES wachangie..kwani wanaweza kuongezea hii list kama kuna walio sahaulika ...au if we can share some of the moments za hawa washkaji kama kuwaenzi!

Kumbu kumbu itakuwa tarehe 11/12 PALE LEADERS CLUB!!!
RIP
http://issamichuzi.blogspot.com/2010/12/kumbukumbu-kwa-marehemu-marafiki.html#comments
 
Jamani naona kuna watu kama kina DJ Kali kali .....au kule pande za Arusha kina DJ Mc hope.....etc ni vema na walio mikoani wakakumbukwa vile vilee.....
 
Ukiona hivyo watu wanajizeekea, nostalgia kicks in like that.

Watu washajifia sana utawaletea watu morbid posts tu hapa, huyo Kalikali alishajifia mpaka mdogo wake Justin naye alishatangulia.

The memory lives on though, I hear you.
 
Unamkumbuka marehemu makochela,dj dan star wa ymca,manga p,sweet coffee,amani junior challenger
 
Hao watoto wa mjini wametoa mchango gani kwenye nchi yetu,hiyo list kuna majambazi,wauza unga,malaya wazoefu,matapeli,kweli tz kuzuri hata ukiua ukifa unaheshimika
 
Tujifunze kusamehe hivyo pengine wanastahili kupongezwa kwa kuzingatia kwamba hakuna marehemu mbaya.
 
wamepata ngoma kwa ajili ya kiherehere chao

sometimes JK statements are too contraversial.......hii statement ingekuwa ulaya wanaharakati wa masuala ya ukimwi wangeandamana na kuupiga msafara wake mayai viza kama wale waanafunzi UK waliokuwa wanaandamana kupinga ongezeko la bei walivyolizabua gari la Prince Charles......statement nyingine ni ile ya "wanafunzi wanaopata mimba ni kwa ajili ya kiherehere..".."sizitaki kura za wafanyakazi".
Nadhani mdomo na ubongo vinapokosa ushirikiano unaishia kuropoka bila kufikiri ......wazwahili wanasema "fikiria kabla ya kusema".
 
Wandugu hao mashujaa si wameacha majonzi kwa kina kaka na dada zetu na ndugu kwa ujumla maana wengi wao walikufa kwa gonjwa hatari la UKWIMI? Mimi naona siku hiyo mngeitumia kuelimisha wasanii kuwa they need to live descent life na si kuendekeza uzinzi. Kuwa celeb jamani watu wengi dunia nzima wanaitumia nafasi hiyo kufanya maasi. So sad!
 
kama alikuwa shemeji yako utajiju, huyo alikuwa jambazi pamoja na hija shaa wameiba magari kibao hapa mjini,kama unakumbukumbu nzuri alishawahi kukutwa na Toyota Land Cruiser Had Top, Nyumbani kwake mwenge dereva wa gari hiyo aliuwawa,
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom