Kumbukumbu ya uhuru december 9


M

Mbalinga

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2010
Messages
1,496
Likes
645
Points
280
M

Mbalinga

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2010
1,496 645 280
Wana JF kama tujuavyo kuwa Alhamisi ijayo itakuwa siku ya kukumbuka uhuru wetu kutoka katika ukoloni. Najua watanzania kwa maelfu watakusanyika pale uwanja wa uhuru kuhudhuria hizo sherehe.

Sasa napenda kuuliza hivi kitatokea nini kama watanzania chini ya CDM watahudhuria pale wakiwa na mabango ya kudai KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI. Je tutapigwa na polisi? au je tutazuiliwa kuingia uwanjani? Na hii ikitokea nchi nzima nini kitatokea?

Mchango tafadhali.
 

Forum statistics

Threads 1,235,078
Members 474,351
Posts 29,211,427