kumbukumbu ya siku CHOZI LA DAMU lilipochuruzika

Ni jambo jema kumshukuru MUNGU kila wakati maana hata hii hewa tunayovuta bila kuiilipia ni jambo la kushukuru.

Namshukuru MUNGU sana kwa kunifikisha hapa kimwli na kiroho
na wote tunaungana na rafiki yako kumshukuru MUNGU kila mmoja kwa kadiri MUNGU alivyomtendea
Amina
 
hakika Mungu ni wa ajabu na mtenda makuu
sina la kusema machozi uwa yanidondoka tu
 
jamani, machozi yananibubujika kwa fadhili hizo kuu za Mungu wetu. hakika jina la Bwana ni la kusifiwa sana.napenda niwashirikishe wimbo wa NITAMHIMIDI BWANA ulioimbwa na kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama. wimbo huu umetokana na Zaburi ya 34.

ni wimbo mzuri sana wa sifa na kwa habari ya mtu huyu, sikiliza kwa akini ubeti wake wa pili, hakika utabubujikwa na machozi jinsi Bwana anavyotenda ajabu na ishara nyingi, lol, asante sana Akili Kichwani kwa kumtukuza Mungu kupitia ushuhuda wa rafiki yako. ubarikiwe sana

wimbo: NITAMHIMIDI BWANA
kwaya: Uinjilisti Kijitonyama
Albam: sina hakika

1.
Nitamhimidi Bwana kila wakati, mimi ii,
sifa zake zi kinywani mwangu daima X 2

Katika Bwana nafsi yangu itajisifu,
wanyenyekevu wasikie wakafurahi,
mwimbieni Bwana ninyi pamoja nami,
na tuliadhiishe jina lake pamoja X 2

Kiitikio
Nalimtafuta Bwana akanijibu, milele
Akaniponya na hofu, Milele X2
Onjeni muone,
onjeni, ooh omjeni
onjeni muone, Bwana Yu mwema X2

2.
Nitamhimidi Bwana kila wakati,
sifa zake zi kinywani mwangu daima X 2

Masikini alimuita, Bwana akajibu,
Akamuokoa kwenye tabu, akawa huru,
malaika wa Bwana aja fanya kituo,
Kumzunguka kumuokoa,
Mtu wa Mungu X2

Nalimtafuta Bwana, milele ……………

Glory to God
 
am real touched by ur testimony! I glorify God for the might work to your friend, and this remind me on the grace of the good God!for wat so ever ups and down God has something huge in store for us,,,,Mungu amuinue zaidi
Thanks for this uplifting sharing,blessings

amen mpendwa, Glory to God
 
Mmeanza kunikumbusha na tamthilia ile ya yule binti sijui anaitwa " MARICHUI" kama sijakosea
 
Miss Judith,
Naupenda sana huu wimbo hapo juu!!! na ule wa Reuben Kagame unaosema...."ntainua macho yangu nitazame milimani, msaada wangu watoka wapi? ninajua ni kwake Bwana. Anilindaye halali, ninajua hasinzii..nitokapo niingiapo, nijajua yuko nami"

Pia naupenda huu msitari..."Mwambie Mungu matendo yake yatisha kama nini.....na ahimidiwe Mungu asiyeyakataa maombi yangu wala kuniondolea fadhili zake" psalms 66
 
Naikumbuka hii story Mheshimiwa akili Kichwani
Lakini cha msingi aendelee kumshukuru mungu kwa yote na aamini kwamba hapa dunia kila mmoja ana namna ya mapito yake ya kupita
Ashukuru mungu kwa kila jambo kwani hiyo ilikuwa ni safari ya mafanikio yake
Siku zote mungu ni mwema na kila binadamu ameumbwa ka mpango wa mungu. ..
 
mpendwa umegonga palepale moyoni mwangu,

huo wa mwambieni Mungu matendo yake yatisha kama nini umeimbwa pia na Rose Muhando na ameutoa katika zaburi ya 66, Reuben Kagame aliimba toka zaburi ya 121 na hata St James Tumaini kwaya kaloleni wana wimbo kama huo walioiimba toka zaburi hiyo hiyo na kila nisikiapo maneno ya hizo zaburi humgwaya Mwenyezi Mungu jinsi anavyotuzingira na kuhakikisha hatupungukiwi kitu maishani mwetu. ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God
 
From mtaani to PhD!, kweli acheni Mungu aitwe Mungu, akisema ndio binanadamu hawezi kusema hapana!
 
hakika matendo makuu ya mungu yanatisha kama nini!kwa kila aaminie atauona mkono wa mungu!ni neema ya ajabu tunayo huwa nashindwa hata kutafakari
 
am real touched by ur testimony! I glorify God for the might work to your friend, and this remind me on the grace of the good God!for wat so ever ups and down God has something huge in store for us,,,,Mungu amuinue zaidi
Thanks for this uplifting sharing,blessings

amen amen!huyu ndiye mungu ninaemuamini,neema na rehama zake kwetu hazielezeki!
 
jamani, machozi yananibubujika kwa fadhili hizo kuu za Mungu wetu. hakika jina la Bwana ni la kusifiwa sana.napenda niwashirikishe wimbo wa NITAMHIMIDI BWANA ulioimbwa na kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama. wimbo huu umetokana na Zaburi ya 34.

ni wimbo mzuri sana wa sifa na kwa habari ya mtu huyu, sikiliza kwa akini ubeti wake wa pili, hakika utabubujikwa na machozi jinsi Bwana anavyotenda ajabu na ishara nyingi, lol, asante sana Akili Kichwani kwa kumtukuza Mungu kupitia ushuhuda wa rafiki yako. ubarikiwe sana

wimbo: NITAMHIMIDI BWANA
kwaya: Uinjilisti Kijitonyama
Albam: sina hakika

1.
Nitamhimidi Bwana kila wakati,
sifa zake zi kinywani mwangu daima X 2

Katika Bwana nafsi yangu itajisifu,
wanyenyekevu wasikie wakafurahi,
mwimbieni Bwana nyinyi pamoja nami,
na tuliadhiishe jina lake pamoja X 2

Kiitikio
Nalimtafuta Bwana akanijibu, milele
Akaniponya na hofu, Milele X2
Onjeni muone,
onjeni, ooh omjeni
onjeni muone, Bwana Yu mwema X2

2.
Nitamhimidi Bwana kila wakati,
sifa zake zi kinywani mwangu daima X 2

Masikini alimuita, Bwana akajibu,
Akamuokoa kwenye tabu, akawa huru,
malaika wa Bwana aja fanya kituo,
Kumzunguka kumuokoa,
Mtu wa Mungu X2

Nalimtafuta Bwana, milele ……………

Glory to God

asante ubarikiwe na mungu wetu
 
mpendwa MJ, haya maneno ya ubeti wa pili, nataka niyajze moyoni mwangu nitembee nayo kila mahali......... yaani Bwana akishamuweka mtu huru, malaika wake huja kwake na kufanya kituo akimzunguka na kumuokoa daima!!!!........ its amazing ........ ooh, the love of God surpasses all our understanding............. praise be to God..........

Mungu akubariki sana Miss Judith
 
From mtaani to PhD!, kweli acheni Mungu aitwe Mungu, akisema ndio binanadamu hawezi kusema hapana!

nafikiri hata kichwa cha habari kilitakiwa kuwa hivi "From mtaani to PhD"!.............. naungana na wewe mpendwa, acheni Mungu aitwe Mungu!...............
 
Naikumbuka hii story Mheshimiwa akili Kichwani
Lakini cha msingi aendelee kumshukuru mungu kwa yote na aamini kwamba hapa dunia kila mmoja ana namna ya mapito yake ya kupita
Ashukuru mungu kwa kila jambo kwani hiyo ilikuwa ni safari ya mafanikio yake
Siku zote mungu ni mwema na kila binadamu ameumbwa ka mpango wa mungu. ..

asante kwa kumbukumbu nzuri FL1.................. uliyoyasema yote ameyaona. nilikuwa naongea naye kwenye skype muda si mrefu na amenithibitishia kuwa amefungua JF na anafuatilia michango yetu invoendelea kwenye thread hii................ Mungu akubariki sana..............
 
mpendwa MJ, haya maneno ya ubeti wa pili, nataka niyajze moyoni mwangu nitembee nayo kila mahali......... yaani Bwana akishamuweka mtu huru, malaika wake huja kwake na kufanya kituo akimzunguka na kumuokoa daima!!!!........ its amazing ........ ooh, the love of God surpasses all our understanding............. praise be to God..........

Mungu akubariki sana Miss Judith

ooh, thanks mpendwa. kwenye bold natamani ninunue kurasa za vyombo vyote vya habari duniani japo kwa dakika moja tu, niandike hayo maneno kila mtu ayaone! ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God
 
mpendwa umegonga palepale moyoni mwangu,

huo wa mwambieni Mungu matendo yake yatisha kama nini umeimbwa pia na Rose Muhando na ameutoa katika zaburi ya 66, Reuben Kagame aliimba toka zaburi ya 121 na hata St James Tumaini kwaya kaloleni wana wimbo kama huo walioiimba toka zaburi hiyo hiyo na kila nisikiapo maneno ya hizo zaburi humgwaya Mwenyezi Mungu jinsi anavyotuzingira na kuhakikisha hatupungukiwi kitu maishani mwetu. ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God

Amen!!!! Am so blessed, hata mimi nitamuhimidi Bwana kila wakati...sifa zake zi kinywani mwangu!!!! Be blessed my dear.
 
asante kwa kumbukumbu nzuri FL1.................. uliyoyasema yote ameyaona. nilikuwa naongea naye kwenye skype muda si mrefu na amenithibitishia kuwa amefungua JF na anafuatilia michango yetu invoendelea kwenye thread hii................ Mungu akubariki sana..............

lol, mbona aningia JF kama guest? kwa nini asijisajili kama sisi?

any way, karibu sana kaka, tutapenda kusikia story yako kwa kirefu kutoka kwako mwenyewe. ubarikiwe sana

Glory to God
 
Duh,

Nimevuta pumzi namna wengine tulipatwa na majaribu ya kutamani kufa kuliko kuishi na shetani siku zote anatumia nafasi hiyo kukumaliza ila Mungu ni mwema maana anakupeleka kwenye level ambayo kila mtu anasema huyu kwisha habari yake hapo hachomoki tena....BUT Mungu ameniinua leo hata wale wabaya wanakuwa marafiki. Kinachobaki ni mtu anajiuliza ilikuwaje? Mwisho jibu ni kusema nimeyaweza au ninaweza haya kupitia Yeye anitiaye nguvu...

Jamani tumshukuru Mungu siku zote. Tukumbuke kuangalia nyumba ili tuweze kushukuru na siyo kila saa anatamani kama fulani ..ukaanza kulalama baada ya kushukuru kwanza kwa yote Mungu amekupa na kuendelea kujua, kupenda na kumtumikia ili mwisho tufike kwake Mbinguni

"Praise the Lord. On this day I thank God for the might works He has done in my life to deliver me from the persecution I suffered under my family. Please glorify the name of the Lord wherever you are"
 
Back
Top Bottom