Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Wana Jamvi ni Kumbukumbu ya Mwaka moja inatimia mnamo tarehe 07/09/2018, tokea Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Antipas Mugwai Lussu kushambuliwa Nyumbani Kwake Eneo la Bungeni.
Kwa Taarifa zilizofika Ofisi za Mwanahabari Muru ni Kuwa Nchi nzima Watanzania waume kwa wake watafanya ibada ya kumuombea Mbunge huyo wa Singida Mashariki afya njema na uzima.
Tunatambua pia Serikali yetu itanga mkono Maombi hayo na Kujumuika pamoja
Ibada itafanyika kwenye kila dhehebu