Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,793
Leo ni siku ambayo rastafarians na wale wote wapenzi wa reggae watakuwa wanakumbuka (sio kuazimisha) siku ya kuzaliwa kwa muasisi wa roots reggae hayati Bob Marley aliyezaliwa tar 6 Feb 1945.
Kama wewe ni mpenzi wa reggae, tukitazama nyimbo za Bob, ni nyimbo ipi ilikubamba hasa na bado haijakutoka akilini, mimi binafsi "Survivor" bado inanishika, wewe je?