Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

Unaweza kuwa na nyaraka za kiutafiti sawa kabisa, lakini kwa malengo yako ukazibadili uhalisia wake na kuweka matamanio yako kama ulivyofanya mkuu
Yericko,
Wapi nimetia mkono wangu katika nyaraka nilizotumia katika kuandika
historia ya Tanganyika?

Unaweza kuja na nyaraka hata moja ukaonyesha kuwa hii imetiwa
mkono?

Haipendezi ukawa unajisemea tu mambo bila ithibati.
 
Ni kubadili maana na uzito wa nyaraka, mfano picha inayotumika katika uzi huu wewe ndio uliitoa maktaba yako na kuiweka gazeti na kuipa maneno, katika maneno hayo umemuondoa Mwalimu Cecil Matola ambae kwa picha hiyo alikuwa ndio mkuu wa jopo hilo na badala yake ukamtaka katibu wake Kleist Sykes, huu ni upotoshaji mkubwa sana na usipokemewa na kusahihishwa utaharibu kizazi na kizazi
 
Yericko,

Ikiwa wewe unaona hivyo mimi siwezi kukupinga na kwa hakika hapana kubwa katika hilo unaloamini.

Kleist katuachia nyaraka na picha zake na ndizo zilizojenga haiba na historia yake, historia ambayo ndiyo imewaongoza watafiti wengi katika kumjua na kumtathmini.

Ikiwa wewe una ushahidi wa historia kinyume na hii wala hakuna tatizo kwani zote zitapitiwa na wajuzi na tutapata fikra zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ritz,
Nimeingia Maktaba hebu angalia hapo chini nimeweka ''cutting'' na
picha niko na Peter Colmore, nyumbani kwake Muthaiga Nairobi
1995 wakati natafiti kitabu changu.

Peter Colmore ndiye aliyemtambulisha Judith Listowel kwa Ally
Sykes
na Ally Sykes akawa mwenyeji wake wakati huyu mama
anatafiti kitabu chake, ''The Making of Tanganyika.'':

1R89nohW2wxiYuZWKrZg361LZSAYg_L-vrMmsdahj8ZvUKH899BT39qnEova54Iz1-ALuCacAoDc2d4Jpn0xvnQG-qn_bbwxfPU8GWtScf9a_db6ZuV8hTczjhlOrQAh6kpPfeMkpmjJ1L2yU2twXBLJywYCIpO9HcO3d7GhWzaqcuARzErqgVqT9UQ7GbBbDxr34u6os_fBY5RH4yMlUsFdeP5OPmawjqUlSA4akLjJioVrIrq-MJb_JyUXqF1yshYDquGh-apiiHGoi3RPVNgY3QsF_j8asJ7wHgncpSHJaVYUmvmQdQKteLiU_e6xtsEpEIC3xroHghTxq7VFKdjjwgvaMSL1w1bjM_qwkM6lI3tXeRXIasEWUVAYHPsFiUVeq8P924wOeGW51uFdAENoZXMHgvHzSug9lzHyHYRbO6pr5_NmRqWwKd6qDA0p1kfjTjN4BKjXNdTu_-XsWv9t4Ofx9VvoVUK0xkUK9cKngsxIXSJP795kah6t2vtfQtJk_360yrUWZBJmjNBrN0fL9Dip4JQ16p3mrMU5567qBi8KpCAiPCfClxVUBf7lljUzgrek--a3SicoE_9oWj4pluREg0PV5iiKuZYv-nMMhfjTeqjDXg=w423-h629-no

PtgL3Jv89tsmtyBbtpAnYILnzJvWBfEq9ohApwCwAPeNAsYd0LF6PVeQ4w0lsy3tBJhfYyoyqFboDDjuLAY5ZS9tPlKdDn3r-HARzp2E5pOcGClPqcLzMBB1sw-AbJNlLUaybV4rPLTZ-G2DkvFnNryU9nek_LkH20kRCo36LDYiysRB1pg7yHCHSkw4lZb6m6oj1GOdnGEW3qcnhPmsVT_47RdC-YBtRunrqn8rdPruB7RxC8KwFJHKyS6Fjiy-IqueHci_bO8IkRTlrft3Jnr-TISATcSRcDn8slSwQVm3k57nm7cHY2UslnfNh8Vk8tXCH5AU1vOeM2LhQPzVPEXe2edF23dOcOyFSe_mXCmdTERoHx9dWXXza5V7_hNHrS4IgC-xBQOafYiYULDepJUMUd-mLbHeeH__CkyKmeyjTr8Q5pepWHm2zHIhdfZOSDlUVozAt2JotLtyrciRC2SJN-Er_LRa90ttF3VH3uzTaX4mydH4MSFM7BLM1Q9r7dtrnNV-87Qk5Dz-uEa7j7hZxhCRxeXkfdOiwsDFNg0eRYnfWipi2dlLndh6KNxe-sQ5T2dL4cHDXH33SJp6MccKogM_uNpuyrVaTHoedd2E2mlo1anU7w=w215-h629-no

Guardian 14 October 2016

lJNmBUKTpH2iNiof23RefQRI863__dOVNIKIcchR_TjHgbEz0-Uvm28vNndzA2MGDnyjGSJTZCeuDq4rfPqemnM5hspwxhczcIzxt51UZE8SAvsXeV5Kzv3FANVK7ePZQ4epIMET9sv-edxaoXaTt0Svm61otduGvlw7smVHeJkDJvHea5uJprB1625FX8ikYt7SkxSTIpymTk3MmoFIgCJ0xBBFRo0IbDsIqm27uR7CRT7YVeHWOJHZkeEKU9I9tRUfBDgtXuhQ7V4_ogtWL5e9BNs7tqmYoUIvUgOu14IRnseGuAtrxNqUpxFp2-Jlk7Du0-LE35WxN7pkcrrcQzHrmNjkApA0ET3kVe7P7fzu5Uk5obb20Cob6vZ7GTR1fooqzVUTdeyqsoY4zy9lcx_MBNUDRNRd2DEnRlm2pTEI1_cs9DjFsGjDEPX7EoBgZzIjlBTc3ASQO0pbsM_xSwgMf6uM50oEtVR8_cPFukb4V_if06Nzp4X6IDduzuJva2CNnJgIkbz_-fGeMlHT1uEfP44fJTfub34vxSipdWx82d4YJbWi4vMXS4QgknpwRy-DueN4dyXS6E5s4QOkKIYAHyAY5mpSlbzdpmZjAnf5JiAR9UrY=w839-h629-no
kupiga picha nazungu km ulienda kulilia upewe msaada njaa kali haifanyi unayoongea kuwa ya kweli!
cha zaidi ni ngano na soga za wakataa shule kutwa vibarazi!
 
Ni kubadili maana na uzito wa nyaraka, mfano picha inayotumika katika uzi huu wewe ndio uliitoa maktaba yako na kuiweka gazeti na kuipa maneno, katika maneno hayo umemuondoa Mwalimu Cecil Matola ambae kwa picha hiyo alikuwa ndio mkuu wa jopo hilo na badala yake ukamtaka katibu wake Kleist Sykes, huu ni upotoshaji mkubwa sana na usipokemewa na kusahihishwa utaharibu kizazi na kizazi
dooh msiba mzito huu wa mudi
 
Yericko,

Ikiwa wewe unaona hivyo mimi siwezi kukupinga na kwa hakika hapana kubwa katika hilo unaloamini.

Kleist katuachia nyaraka na picha zake na ndizo zilizojenga haiba na historia yake, historia ambayo ndiyo imewaongoza watafiti wengi katika kumjua na kumtathmini.

Ikiwa wewe una ushahidi wa historia kinyume na hii wala hakuna tatizo kwani zote zitapitiwa na wajuzi na tutapata fikra zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu,
Yericko
tunafanya mjadala nami sioni tabu kumjibu kwani hajanitukana
kwa kiasi cha mie kumsusa na pale anapotoka nje ya mstari yeye huwa
mwepesi wa kunitaka radhi.

Lakini huyu mtu yeye kawaida yake ni kuja nyuma ya Yericko na kunitusi.
Akutukanae katika pombe nawe mrudishie hapo hapo kwenye ulevi:

Huyo hapo chini ni Emily Calachi (University of Winsconsin) msomi katika
historia ya Afrika hapo tuko New York, Brooklyn Heights, 2011.

8i36jS3yU_R-qgDplrgVGGKqW_pkg6qtlv7Yv5wDTCVW9t-FRiZ3zuW3E1KWadyF3Xf1pjbqE25pLMil7QBw3sIC7XRVkJNpFbMmBittggjBnxDUhh1mWnaGHr7kSrC-ItVjkkyLp-XYJSmCJf4NZWLog4oitZhvqnjkS52eFSqaTZythdNLk4DD4nWVTzMz0sahR2pSCSCn6Q9K4mpY2pUghaR5FsPZvk-qYY9uSAkyPzwk0Jj1SE06E50-XVkelFD7dGIxZ09URboqbny0xZpIzuhHdGnd0nnvWy8t2p-YP3zMcDjxqVdXtO3ZcKI7o1gOKxFQhCIEMY4MSeUMpvNRuvvPUrkK6ggUzGmey96UJZP6SqpTyxe_vhF8Qp8OuRsBaoQ7ioJJd2G_l4WvUEvsPTx1KO0-T-pY0cvGuQu3zVM4UmMZ5NulCqsVjuA4nRrYM8h2bkOUvKV32nEKrOXee2Z_Bsf61nmFK0UXbrbJuG8q1Ixy46gpJSSCmHSRz-4X9xqKJquBkWBRIs-_0GWUU-5AIMdJTSqqsU6zlOX5A3ee_hYLY7xsqsa7nhsJ4kKSTVgtJ3y4z4Xx1_ZJjFMmbCbzvq2_lZtZX0Ak4j_psl-EoWcCJg=w480-h360-no

Sikwenda kwake kumuomba fedha.
Kilichotukutanisha ni ujuzi wetu katika African History.

Nimepata taarifa siku chache zilizopita kuwa Emily ana kitabu
kitatoka hivi karibuni.

GjAGOOYtPXZAdb-axng9iIIOBpCXuOr_hbJE2ngXA0eg-5UJj6oZdgry2U11PHiw2byxUp7b5Chvvcm3RgpW7C1FGdL74jFenaosL8uFoN_Kcz0mboxhT_XZefDY6uutEryGyBWvkjagAV2PcWvuLpef1gXmbmo3ONLTdkAJOMJAP25V1w6TPgrJSxO2b22UxJNUuV2hHEK7N8GCuvwY4NLDn0Ud8_5TsYOHCTu7jKbfrvHXWF6Np-BVrqCo_AwXso8UmE7IWqPlBB0HnqSSsdXu-FCODB-blcVYPnzFwyKD5qxPjZIKFT0NzTF1iml-uUfJ_J6CH5Tb2UxlPFU3lI2toMUUJTi05bzm5_i49RUpiR58_rjqsCXgRpI5M0fxcuYBdLAmprXmqPHLrBCIPXIcPsJAQFJLKwlfyRqyky4pPuFpFApnvZq1Oxa_3DVC56_kXgP45lCkp55_d4bLsRc97nQr6Cb_-zniO1EUOEhOoS17_KwwvnVYMk_SdIV4I263TB1LKznoFM5Hzr0G9CutUxTKtOe2-Up33yh6pigIv82ihag32DQqarZw3m6kzP9Y62Nlr-Z3nRd-8JnX1ZMTqzZwsRE4cLvY4v3w7lgeJvFO_N2Szg=w320-h240-no

Huyu ni Benjamin Kirby (University of Leeds) leo asubuhi nimepokea
Ph D Thesis yake na kanitaja kama mmoja wa watu waliomsaidia katika
kukamilisha ''thesis,'' yake.

Picha hii tumepiga nyumbani kwangu 2015 na sikumwita kuja kumuomba
fedha kwa ajili ya ''njaa kali,'' yangu.

7gHfGPa-q11MfwwGOF9aUJ-pts_XjRmOXXpzYPPjn8OGbp6mokGKGPcChksj6pM_voJOpVPY8MrqMpLpFqtcT0TspXOGNmanTIwziFDZlwYvNOmqtWPKaYLxleOEJ5RTyAP1L2hzzr6EN3sNOFsSjVuBmrLzhTozC077bxRO7IUczwEqJlcTstCAUy6vJVz6Q15UDEn6FVwMCszcUFKwZuebdIV_Dy3xdEH6iLsr25MKxsputj8tmMI46QVmWGycfbTqbeT1T-gxgybppYQZ6ZM4H20d4mRCNhsRy2iJxYWhL-QpvU94aAt-Who9z709sMpMx9ea4j2i73kBMJhc0XqgBZN58nVblPEhND1dDHdVQtgg4ncZFpdBqxOwI30YYdttwd3q-dAoOPb8vI9_4bgTV1QPh3frK5dOABFHz6v_uZtFEtBFoB6HLhPEUxAjxpJ-y0afEwOchvstsH5y0QtW-lqkfkJRo9BekxebIdGCEoJii_kldpCiz_KjjXJH6j3OtVOZtWvp10Nx0PI-CyQIbTX7YuuIQ2wDuIvbIPrd3E6XbtMNCePQrdX8OH84aG-Zvp5NDHMedPB2y0pjOoFh8pfvf0c2s_F1Zww7IilY3IeC-mgSXg=w412-h297-no

Nathaniel Mathews (Northwestern University), hapo ni Chicago sikwenda
kwake kumuomba fedha ila yeye aliposikia niko mjini alikuja hotelini kwangu
Hilton, Evanston kuniamkia.

Huyu bwana kama ana hoja na azilete lakini huku kuwa yeye ananivunjia utu
na heshima yangu si uungwana.

Nina picha nyingi na ''Wazungu,'' hizo hapo juu nadhani zinamtosha.
Muhimu kwake ni kuwa sijakutananao kama omba omba.

Alhamdulilah Allah kanisitiri kwa hilo riziki yangu hijapatapo kutoka kwenye
mkono wa binadamu.
 
Ndugu yangu mmoja kapiga picha ya Bint Kamba Street, Ilala, Bungoni
usiku huu na kanirushia.

Vrv9heg_XaVedUaHDshwdv63n_-vKcpEmS_aqFd8yB86dtGSEN76AHDSiM1BWZ9qWeiJxQhMOpfRhauUOc-5a3lIqXW0h8NqgUwPinUJy0WlyXmg2SiDSqtNZcULLQjHXKHXQBOMBBsADZmeFykVnSbqXf3dlmHobbaMVO7s042FmJaS6GfYbLqv6-Uk8wh_0zjGEIFhIaLK72w8oei7iPHYcQEaSIizJFtVxZDPoFmXzxEDAeib2fQKKkkKLpbWqNYQX1TAoZSX8Ixgk1eGH0mTmi5p1b299ifXBzbLyMaORcEBRmZBIcmjuq2hVQnxKem5sbv-aqmphOaYO7vReL7FMCYWDwe2WBPWqAIy7h3PMNX5Y6flu00bBeKdNZxjAt2xK7VqrGlY49d-ltM14OcaUcOVT8zO6MABZR0fvh1WM1xOMP5v1Ybp1MhELip_bes9flfVdq-2EbgfPHAUusNeaI01vkl4EKRnHnmeNrxgzH54ZLl6VNBjvXUQ-JDD02Zm0_dF4uCbCJwJIFxZQ17FOb9uBn9YgZoaKaHHzi9hfKJvoJqCdbF0w2cwMpnmScxtu8ZMiWLzq4zqaDkiUugr5EyK5FaYvcG3S8xKQ1hyW_jjsA=w468-h623-no

Bi. Khadija Bint Kamba (1922 - 2016)

Mtaa wa Bi. Khadija Bint Kamba, Ilala

Ndugu zangu,
Bi. Khadija Bint Kamaba
alipewa heshima ya jina lake kupewa mtaa aliokuwa
akiishi wakati uleule Mzee Mshume Kiyate alipopewa mtaa.

Tofauti yao ni kuwa Mzee Mshume alikuwa keshafariki na Bi. Khadija alikuwa
hai.

Nakuwekeeni taazia ya marehemu Bi. Khadija Bint Kamba niliyoichukua kutoka
Dar es Salaam Saigon Group:

Vrv9heg_XaVedUaHDshwdv63n_-vKcpEmS_aqFd8yB86dtGSEN76AHDSiM1BWZ9qWeiJxQhMOpfRhauUOc-5a3lIqXW0h8NqgUwPinUJy0WlyXmg2SiDSqtNZcULLQjHXKHXQBOMBBsADZmeFykVnSbqXf3dlmHobbaMVO7s042FmJaS6GfYbLqv6-Uk8wh_0zjGEIFhIaLK72w8oei7iPHYcQEaSIizJFtVxZDPoFmXzxEDAeib2fQKKkkKLpbWqNYQX1TAoZSX8Ixgk1eGH0mTmi5p1b299ifXBzbLyMaORcEBRmZBIcmjuq2hVQnxKem5sbv-aqmphOaYO7vReL7FMCYWDwe2WBPWqAIy7h3PMNX5Y6flu00bBeKdNZxjAt2xK7VqrGlY49d-ltM14OcaUcOVT8zO6MABZR0fvh1WM1xOMP5v1Ybp1MhELip_bes9flfVdq-2EbgfPHAUusNeaI01vkl4EKRnHnmeNrxgzH54ZLl6VNBjvXUQ-JDD02Zm0_dF4uCbCJwJIFxZQ17FOb9uBn9YgZoaKaHHzi9hfKJvoJqCdbF0w2cwMpnmScxtu8ZMiWLzq4zqaDkiUugr5EyK5FaYvcG3S8xKQ1hyW_jjsA=w468-h623-no

Bi. Khadija Bint Kamba

Mtaa wa Bi. Khadija Bint Kamba, Ilala, Bungoni

''Anaitwa Hadija Bint Kamba, Bint mrefu mweusi mwenye umbo lililosadifu Unyamwezi, asili yake ni Tabora ndipo alipotokea baba yake na Kigoma ndipo wazazi wa mama yake walipotokea.

Ni kama ilivyo kwa familia ya Sykes, Bint Kamba alitoka katika familia mashuhuri jijini Dar es Salaam katika miaka ya 1950s. Aliingia katika harakati za ukombozi akiwa bint mdogo mwenye malengo tofauti kabisa na ya kipekee sana. Pamoja na kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ukoloni tena akiuza roho kwani alikuwa ni bint pekee wa Kiafrika aliyeweza kujichanganya na Wazungu, hivyo aliweza kupata siri nyingi za wakoloni na kuwasaidia wapigania uhuru wasikamatwe na wakati mwingine wasidhurike. Alifanya kazi hii kwa siri kubwa sana, kiasi kwamba hakuwa akijulikana sana kwa watu hasa wanaharakati. Alikuwa mtu mwenye uwezo wa kipekee wa kutunza siri.

Mwaka 1955 akiwa na Bibi Titi na Bint Maftah walishirikiana kuunda Baraza la Wanawake Tanganyika ikiwa ni kikundi ndani ya TANU kilichokuwa kikitoa ushawishi kwa akina mama kuiunga mkono TANU.

Mwaka 1961 wakati wa Uhuru, Bint Kamba alikuwa ni mmoja wa timu iliyoundwa kubuni nembo ya Taifa (maarufu kama nembo ya ikulu ama nembo ya Adamu na Hawa ambayo mpaka sasa imeendelea kuwa alama kuu ya taifa (baadhi ya waandishi wanamtaja kuwa yule mwanamke anayeonekana kwenye nembo hiyo ndiye Bint Kamba)

Novemba 2 ya Mwaka 1962 Mwalimu Nyerere alipotangaza kuunda Umoja wa Wanawake wa Tanganyika (UWT) Bint Kamba alikuwa ndio mpanga mikakati na mfumo wa uongozi wa UWT.

Pamoja na kushiriki katika mapambano ya kudai uhuru akiwa msiri mkubwa wa Mwalimu Nyerere, Bint Kamba hakuwahi kushika nafasi yeyote ya kisiasa kwa kugombea ama kuteuliwa. Baada tu ya nchi kupata uhuru Bint Kamba alieleza kuwa lengo lake limetimia na kwamba haitaji cheo chochote.

Mwaka 1985 katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Mwalimu Nyerere akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) pamoja na Baraza la Wazee wa Dar es salaam juu ya kung'atuka alimtaja mtu mmoja ambaye ni wa kipekee aliyeyashangaza maisha yake ya uongozi. Alimtaja Hadija Bint Kamba kuwa ni mwanamama na mpambanaji wa kipekee aliyeshiriki mapambano ya uhuru bila tamaa ya cheo. Mwalimu Nyerere alisema kuwa amekaa ikulu kwa miaka 25 na kila alipotaka kumteua, Hadija Bint Kamba aliendelea kubaki na msimamo wake kuwa hakupigania cheo bali alipigania haki na usawa...alitaka kuona Mwafrika anathaminiwa katika nchi yake na kwamba ametimiza lengo hilo.

Tangu Mwaka huo wa 1985, Mwalimu alimtangaza Bint Kamba kuwa ni, ''ShujaaAasiyevaa Nishani,'' na tangu wakati huo alishirikia vikao vya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mikutano Mikuu yote akiwa ni mwalikwa mpaka pale umri ulipokuwa mkubwa na kumfanya ashindwe kuhudhuria vikao na mikutano hiyo.

BI. Hadija Bint Kamba amefariki jana tarehe 30 Novemba, 2016 akiwa ni miongoni wa waasisi waliobahatika kuishi kwa muda mrefu katika nchi huru ya Tanzania.

Bint Kamba amezikwa mchana wa leo tarehe 1 Desemba 2016 katika makaburi ya Kisutu yaliyopo jijini Dar es salaam.

Anakufa bila cheo lakini anazikwa kwa heshima ya kiongozi wa kitaifa, kwa msafara wa magari ya askari na viongozi wa CCM na Serikali kutoka mtaani kwake mtaa wenye jina lake Bint Kamba Street Ilala Bungoni mpaka Kisutu. Maraisi wastaafu, Katibu Mkuu wa CCM, Naibu Katibu Mkuu na viongozi wengine wa CCM wakiongoza jeneza lenye mwili wake.

Anakufa bila utajiri lakini anazikwa kwa hadhi ya bilionea.''

HIVI NDIVYO ULIVYO MWISHO WA WATU WEMA...!!!

***

Mara tu nilipopata taarifa ya msiba huu katika Saigon Group niliandika maneno haya yafuatayo:

''Bi. Khadija Kamba katika sifa yake kubwa katika TANU ni yeye kukubali kutoka TANU kwenda Congress kama "mole," yaani mpelelezi. Hii ilimjengea uadui mkubwa na wenzake...bahati mbaya sana hizi ni katika historia zinazowatisha baadhi ya viongozi kwa hiyo historia ya mama yetu huyu haifahamiki vizuri wala haijaandikwa. Allah ampe kauli thabit.''

***

Nimepokea vilevile maneno kutoka kwa baadhi ya watu kuhusu msiba huu wa Bi. Khadija Bint Kamba:

''Uncle unatisha. Muandike Binti Kamba. Nadhani moja ya picha yake nzuri ni ile ya Ikulu na Nyerere wakati akiaga. CCM ilimjengea upya nyumba yake Bungoni. Namkumbuka huyu bibi akiishi Aggrey. Na wakati Kasanga Tumbo alipounda chama cha upinzani yeye na Issa Mtambo wakatangdaza kujiunga. Wakati huo Mtambo akiishi mtaa wa Pemba kwa mkwewe Bi Mwajuma Mlenda, ndugu yake Bi Maftaha. Mtambo alikaa kibarazani na kuichana kadi ya TANU. Ilikuwa, ''shock,'' kwa wengi. Kisha rafiki yake Mwanjisi akaenda kumsihi, lakini wapi, akashikilia. Kumbe yote yale yalikuwa machezo! Inatisha!!!''

***

''Bi khadija Bint Kamba alizaliwa 1922 Tabora. Mama yake ni Muhombo. Kwao ni Ng'ambo Mbirani. Baba yake ni Mzaramo wa Bagamoyo. Allah hakumjalia watoto. Lakini alikuwa ni mlezi mkubwa wa watoto wote wa nduguze. Ukihitaji historia yake nitafute. Mie ni Dada yangu upande wa umama. Na malezi yake yote yalikuwa kwa mjomba wetu marehemu Khamis Mnubi pale Chemchem Mtaa wa Caravan siku hizi unaitwa Mtaa wa Uhuru.''

***

''Ni mama yangu bint Kamba hawa ndio kina mama wa mwanzo kabisa kujiunga na TANU akiwemo Bi. Baita wa Dodoma BI. Mtumwa wa Tabora, Bint Mrisho wa Tabora pia ni mama wa mwanzo katika TANU kwa ngoma yao ya Lelemama.''

***

[01/12, 10:57 p.m.] ‪+255 717 423 353: Tumekuelewa Shekh Said
[01/12, 11:00 p.m.] ‪+255 717 423 353: Shekh Said huyu Bi Hadija hukumuandika hata ww katika nakala zako sheikh ndio maana naona hata Tanzia kwa hisani ya Saigon.

***

[01/12, 11:41 p.m.] mohamedsaidsalum: Kuna tatizo sana kumtafiti "mole," yaani mpelelezi. Bi. Khadija baada ya 1958 hakuwa mwana TANU ila ni ''kibaraka msaliti.'' Uongozi wa juu kabisa ndiyo wakijua kuwa alikuwa katika kazi maalum. Sasa huyu anahitaji utafiti makhususi na CCM inawajibika sasa kuweka wazi hili jalada la mama yetu huyu tujue yote aliyofanya. Yuko, ''mole,'' mwingine iko siku nitamtaja huyu aliangamiza umma na mwenyewe alikereka sana mtu akimuuliza mchango wake katika historia ya Tanzania. Mimi nilifanya mahojianonae kwa yeye mwenyewe kuniita kupitia mwanae. Hili ni jambazi khasa la Waingereza.
 
Nilidhani unajibu hoja mzee wangu, badala yake unaleta historia mpya kabisa, tunakushukuru na kukulaani ubadilike
 
Ilikuwa mwaka 1927 ndipo chama cha AA kiliundwa kwa msaada wa Gavana wa Kiingereza nchini Tanganyika Sir Roland Davidl Cameron na Dr Agrey raia wa Ghana mwenye mtaa Kariakoo ya leo, huyu Mghana alikuwa mshauri wa kisheria na kimuundo tu, kikawa kinafanyia shughuli zake nyumbani kwa Rais wa kwanza wa AA bwana Cecil Matola kutoka kabila la wayao, na miaka mitatu baadae, yaani 1930 ndipo wakapata jengo toka kwa Gavana Donald Cameron, hapo ndipo picha hii ilipigwa,

Mwaka 1933 Cecil Matola alifariki dunia, na nafasi yake ikakaimiwa na katibu mkuu wa AA Bwana Kleist Sykies (ambae baba yake mzee Platanta alikuwa ni muhamiaji haramu toka Afrika Kusini aliyefika Tanga na kuanzisha makazi huko baada ya kuwa mateka wa wajerumani vita ya kwanza ya dunia), mpaka mwaka 1948 chama kilipobadilishwa jina nakuwa TAA chini ya Rais wake Daktari Vedasto Kyaruzi (Mhaya),

Hapo Rais wake wa kwanza wa TAA akawa Daktari Vedasto Kyaruzi, na katibu akawa Abdulwahid Klest Sykies, miaka miwili baadae, Dr Kyaruzi alihamishiwa Kingolwila hivyo nafasi ya urais wa AA ikakaimiwa na Abdulwahid Kleist Sykies hadi ilipofika uchaguzi wa 1953 ambao Julius Nyerere alimshinda Abdulwahid Kleist Sykies kwakishindo na kuwa Rais wa TAA, Mwaka mmoja baadae Julius Nyerere alibadilisha jina na mrengo wa TAA nakuwa TANU ya kupigania uhuru kutoka chama cha kuratibu shughuli za starehe za weusi (chama cha walevi)

................................................................ Yote kwa urefu yamo katika kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi,

View attachment 544629

View attachment 544695
Yericko naomba contacts za mzee mohammed said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yericko,
Hoja gani unataka nijibu?

Hukupendezwa na historia ya Bi. Khadija Kamba?

Hatuna wazalendo wengine zaidi ya hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wangu nimependezwa sana, unajua wewe ni storyteller mzuri sana, unaweka udambwidambwi mwingi sana katika maneno yako...

Hoja muhimu ilikuwa hii

"Ni kubadili maana na uzito wa nyaraka, mfano picha inayotumika katika uzi huu wewe ndio uliitoa maktaba yako na kuiweka gazeti na kuipa maneno, katika maneno hayo umemuondoa Mwalimu Cecil Matola ambae kwa picha hiyo alikuwa ndio mkuu wa jopo hilo na badala yake ukamtaka katibu wake Kleist Sykes, huu ni upotoshaji mkubwa sana na usipokemewa na kusahihishwa utaharibu kizazi na kizazi"
 
Ikiwa unadhani kuwa Cecil Matola alikuwa na mchango mkubwa katika
Dar es Salaam ya 1930s eleza aliyofanya.

Mimi sina uwezo wa kumuondoa yeyote katika historia ya Tanganyika
kwani mtafiti si mie peke yangu wangekuja wengine wangemwandika.

Judith Listowel katika, ''The Making of Tanganyika,'' (1965) hakuna
mahali popote alipomtaja.

Nakuweka hapo chini faharasha ya kitabu hiki uone mwenyewe uangalie
Sykes wote wametajwa mara ngapi wakati Matola hayuko popote:

upload_2017-9-12_6-25-2.png

EysVRNq0Bwp1FEqjv39EYEFjLJQRLZfkX0H3cZuwVf5QFrCZuJduY3CWZUjrPVEfxIFH7IUVaRPp3T2LdyiJ_shSKYUOCbtcwvByTcCNSMHUI6aEldvY9Wx4EdemC9nxP8oqAgKfKS2F8WRB3hvtcMuhaxVy43P4QZdX6Ydg9qEI0naSqbNBmZQsCDFL8vn2pcXZ1YQ5djKrQti1mrZvEXzjmvGFBlvmwySfySxHq8C_z1vRJWbMfMJFIT4b53WLdqRJFYqbgXBKYWkiC1qvYkF8DoI0KfS2JFAXRDyIvgFRwiqlMDRUN5Kq6-SAdPKEW7-4jqkM442TT1doVFRCAgxvX2eaVoBTiM0aim_vP_KZ4AfgxKzKoHfyR1ggYZ2yIZ5q15IIOK2RnjDptCQ9uUvrzbXNX9eMaPOC-KHFxdRKk9_czUPPpu1Zol2jlnonH2Ip5LGhSOHOHgtF0EF451LCp6rndjm1FQgjdl1jcKaI_-cdsmlUPku_-H4Wiwpa7NfTR-FUSE1CXdCcDHMIva1QMy-3B4IWmvIOgc7xXNdmL8gdmQjdjkYlsFAViT6WNDEgnnAbJR2NnRSAXuJGTMZFOCSaV6juFGZSKAmbV6f2s5cQtG4m-A=w354-h629-no
 
Paskali,
Mimi sina tatizo na historia ambayo nyie mngependa iwe.

Aliyesema kaanzisha AA ni yeye mwenyewe Kleist na mswada wake umechapwa kitabu toka 1973.

Historia hii nimeeleza kama ilivyokuwa na wajuzi wameiafiki na leo ndiyo historia isomweshayo kote vyuoni na mwaka 2011 ikaingizwa katika Dictionary of African Biography.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee jiandae kabla yakuleta hekaya zako zenye mwelekeo,upendeleo na muono wa upande mmoja.Kila lilokuwa zuri unataka lisomeke upande uleee badala ya ukweli,nadhani ifike mahali uache ushabiki,ukweli na uwongo ni vitu viwili tofauti sana ujue!
 
Yericko,
Ikiwa unadhani kuwa Cecil Matola alikuwa na mchango mkubwa katika
Dar es Salaam ya 1930s eleza aliyofanya.

Mimi sina uwezo wa kumuondoa yeyote katika historia ya Tanganyika
kwani mtafiti si mie peke yangu wangekuja wengine wangemwandika.

Judith Listowel katika, ''The Making of Tanganyika,'' (1965) hakuna
mahali popote alipomtaja.

Nakuweka hapo chini faharasha ya kitabu hiki uone mwenyewe uangalie
Sykes wote wametajwa mara ngapi wakati Matola hayuko popote:

View attachment 586490

EysVRNq0Bwp1FEqjv39EYEFjLJQRLZfkX0H3cZuwVf5QFrCZuJduY3CWZUjrPVEfxIFH7IUVaRPp3T2LdyiJ_shSKYUOCbtcwvByTcCNSMHUI6aEldvY9Wx4EdemC9nxP8oqAgKfKS2F8WRB3hvtcMuhaxVy43P4QZdX6Ydg9qEI0naSqbNBmZQsCDFL8vn2pcXZ1YQ5djKrQti1mrZvEXzjmvGFBlvmwySfySxHq8C_z1vRJWbMfMJFIT4b53WLdqRJFYqbgXBKYWkiC1qvYkF8DoI0KfS2JFAXRDyIvgFRwiqlMDRUN5Kq6-SAdPKEW7-4jqkM442TT1doVFRCAgxvX2eaVoBTiM0aim_vP_KZ4AfgxKzKoHfyR1ggYZ2yIZ5q15IIOK2RnjDptCQ9uUvrzbXNX9eMaPOC-KHFxdRKk9_czUPPpu1Zol2jlnonH2Ip5LGhSOHOHgtF0EF451LCp6rndjm1FQgjdl1jcKaI_-cdsmlUPku_-H4Wiwpa7NfTR-FUSE1CXdCcDHMIva1QMy-3B4IWmvIOgc7xXNdmL8gdmQjdjkYlsFAViT6WNDEgnnAbJR2NnRSAXuJGTMZFOCSaV6juFGZSKAmbV6f2s5cQtG4m-A=w354-h629-no
Bahati nzuri nimemuelezea na nimemtendea haki sana katika kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, kwasasa Watanzania wengi waliosoma kitabu hiki wamefahamu Matola alikuwa nani na alifanya nini... Huo ndio usomi...
 
Baraza itafaidika kujua umetumia ''source,'' gani.

Mimi nilitaabika sana kupata habari za kutosha za Cecil Matola
hasa kwa kuwa hakuishi sana katika siasa za Dar es Salaam
kwa kuwa alifariki mwaka wa 1933.

Nilichoweza kupata ni kuwa nyumba yake ilinunuliwa na John Rupia
na hadi leo ipo Mtaa wa Masasi Misheni Kota.

Hata nilipompekua John Iliffe hakuwa na chochote.
 
Mzee jiandae kabla yakuleta hekaya zako zenye mwelekeo,upendeleo na muono wa upande mmoja.Kila lilokuwa zuri unataka lisomeke upande uleee badala ya ukweli,nadhani ifike mahali uache ushabiki,ukweli na uwongo ni vitu viwili tofauti sana ujue!
Mount Kibo,
Umeghadhibika.
Hapana haja ya matusi na lugha kali.

Tufanye mjadala wa kistaarabu.
 
Yericko,
Baraza itafaidika kujua umetumia ''source,'' gani.

Mimi nilitaabika sana kupata habari za kutosha za Cecil Matola
hasa kwa kuwa hakuishi sana katika siasa za Dar es Salaam
kwa kuwa alifariki mwaka wa 1933.

Nilichoweza kupata ni kuwa nyumba yake ilinunuliwa na John Rupia
na hadi leo ipo Mtaa wa Masasi Misheni Kota.

Hata nilipompekua John Iliffe hakuwa na chochote.
Vema sana umezungumza vizuri mzee wangu, Mimi nilifanikiwa kukusanya kile ulichoshindwa, karibu usome kitabu mzee wangu
 
Yericko ninachouliza mimi nini chanzo cha habari za Cecil Matola.

Vitabu? Magazeti au nyaraka binafsi?

Historia nzima ya African Association kuanzia 1929 hadi 1949 mimi
nimeisoma kwenye nyaraka za Kleist Sykes.

Historia ya TAA 1950 hadi 1954 na kuundwa kwa TANU nimepata
kutoka kwa Nyaraka za watoto wake Abdulwahid na Ally Sykes.

Matola mwenyewe nimemsoma katika Nyaraka za Kleist na naamini
wewe ni baada ya kusoma kwangu ndiyo ukamjua.

Habari za Dr. Aggrey pia nimezisoma katika Nyaraka za Kleist naamini
pia wewe baada ya kumsoma kwangu ndipo ukamjua.

Kuwa AA iliasisiwa 1929 ipo katika Nyaraka za Kleist na picha ya ufunguzi
wa ofisi yote haya ni katika Nyaraka za Kleist naamini wewe baada ya
kunisoma mimi ndipo ukaja na mwaka wa 1927 kuwa ndiyo AA ilipoasisiwa
kitu ambacho si sawa.

Hivyo utaona uzito wa nyaraka za Kleist na watoto wake katika historia ya
TANU na uhuru wa Tanganyika na pia katika kumjua Mwalimu Julius
Nyerere
.

Ninalouliza ni ''source,'' yako ni nini kwa uliyoandika kuhusu Cecil Matola?

Ikiwa umepata kutoka kwenye nyaraka zake binafsi baada ya miaka 85
hakika hili ni jambo kubwa sana ndiyo nakuomba utupe taarifa hizi tujue.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom