Kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Frank

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,781
Ama kweli Kifo hakina huruma.
Tulikupenda sana lakini
Muumba wa mbingu na Aridhi
Amekupenda zaidi
Ingawa ni vigumu sana kuamini
lakini ndo hivyo ni kazi yake Mola.
Pumzika kwa Amani Mwalimu Frank

Huo ni mojawapo ya ujumbe ulioandikwa na mdau wa FB mara baada ya taarifa kuenea kuhusu kifo cha ghafla cha mwana JF mwandamizi mwl frank kilichotokea kwa kujinyonga ama kunyongwa kichakani

Wiki hiyo ya kifo tulikiwa tumepanga naye aje Dar kwa ajili ya manunuzi ya gari Suzuki Escudo.. Ni mojawapo ya vifo vilivyoniumiza mno



FB_IMG_1658160490815.jpg
Screenshot_20220718-190800.jpg

Mwl.jpg
 
Ama kweli Kifo hakina huruma.
Tulikupenda sana lakini
Muumba wa mbingu na Aridhi
Amekupenda zaidi
Ingawa ni vigumu sana kuamini
lakini ndo hivyo ni kazi yake Mola.
Pumzika kwa Amani Mwalimu Frank

Huo ni mojawapo ya ujumbe ulioandikwa na mdau wa FB mara baada ya taarifa kuenea kuhusu kifo cha ghafla cha mwana JF mwandamizi Mwalimu frank kilichotokea kwa kujinyonga ama kunyongwa kichakani

Wiki hiyo ya kifo tulikiwa tumepanga naye aje Dar kwa ajili ya manunuzi ya gari Suzuki Escudo.. Ni mojawapo ya vifo vilivyoniumiza mnoView attachment 2295564View attachment 2295565View attachment 2295566
Ongezea maelezo kidogo.

Poleni sana ndg, jamaa, marafiki, walimu na wapenda amani wote.
 
Ongezea maelezo kidogo.

Poleni sana ndg, jamaa, marafiki, walimu na wapenda amani wote.
Ni kumbukumbu tuu kilitokea 2017 na niliweka mada yake hapa ila najaribu kuipata siioni
 
Huyu ni binadamu mwenzetu aliyeondolewa hapa duniani SIO kwa mapenzi ya Mungu bali mashetani yenye ukatili wa juu,hana Jina kwa hiyo amekua ni statistics na imetupwa huko,foresinc investigations ni zero ila ya kupambana na upinzani wa kisiasa
 
Hakuna taarifa zaidi zilipatikana kwakuwa walisema alijinyonga na aliacha ujumbe Lakini kumbuka ni wiki hiyo hiyo ilikuwa tumepanga tuonane Dar
Kama aliacha suicide note hapo sawa. Sema na sisi hatuna wataalamu wa forensics wazuri maana mtu unaweza kulazimishwa kuandika suicide note huku unasomewa kama imla. Wenzetu huko wanaweza kuchunguza na kuona kama suicide note imeandikwa na mtu akiwa under duress na kama kweli ni mwandiko wake wa kawaida au jamaa wameigilizia tu.

Anyway aendelee kupumzika salama rafiki yako huyu 🙏🏿
 
Kama aliacha suicide note hapo sawa. Sema na sisi hatuna wataalamu wa forensics wazuri maana mtu unaweza kulazimishwa kuandika suicide note huku unasomewa kama imla. Wenzetu huko wanaweza kuchunguza na kuona kama suicide note imeandikwa na mtu akiwa under duress na kama kweli ni mwandiko wake wa kawaida au jamaa wameigilizia tu.

Anyway aendelee kupumzika salama rafiki yako huyu
Huyu hakuwa mtu wa kufanya hivyo... Angalia tarehe aliyopost
Screenshot_20220718-201051.jpg
 
Back
Top Bottom