Try to put your mind free for at least a minute........
Magufuli alikua waziri wakati ule na hakuweza kuwa upande wa wapinzani au ingempasa ajiuzu kama Lyatonga kipindi kile. Hii tunaweza kuuita ni uoga ili kulinda maslahi ya mtu binafsi au uzalendo wa kumlinda aliempa dhamana!
Upande wa pili mheshimiwa anaonekana kuongea sana mpaka anasahau alichokiongea juzi ndio maana nyingi ya kauli zake zinaonekana kuwa na utata, kwa mfano akiwa Kigoma alimponda mbunge wa CHADEMA lakini akamsifia mbunge wa ACT na pia akiwa Tabora alimsifia mbunge wa Lipumba, Sakaya mpaka akajisahau.
Ukiangalia ahadi zake nyingi kwa wananchi na wafanyakazi zimefeli, Milion 50 kila kijiji, ajira, increament na nyinginezo.
Kiukweli mheshimiwa rais anahitaji kusaidiwa katika kuongea, awe na mipaka, aongee vitu vyenye mantiki, wasaidizi wake wako wapi? Mbona wanamwacha boss katika hali hii?
Sent using Jamii Forums mobile app