amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 907
Wana jf mabibi na mabwana itifaki imezingatiwa;
Mwaka 2013 ndo unaishia hebu tujikumbushe matukio yaliyoitikisa TZ na kuripotiwa kwa uzito wake katika vyombo vya habari na kuzua gumzo mitaani.
Kwa kuanzia tu ;
1. Mchakato wa katiba mpya
2. Matukio ya kumwagiwa watu tindikali zanzibar na bara
3. Sakata la madawa ya kulevya
4. Wimbi la maaskari feki
5. Sakata la Kapuya juu ya tuhuma za ubakaji
6. Sakata la Zitto na wenzie kwa usaliti ndani ya CHADEMA
Haya tuendelee hapo nilipoishia wakuu