Kumbukumbu; MATUKIO YALIYOTIKISA MWAKA HUU 2013

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Wana jf mabibi na mabwana itifaki imezingatiwa;
Mwaka 2013 ndo unaishia hebu tujikumbushe matukio yaliyoitikisa TZ na kuripotiwa kwa uzito wake katika vyombo vya habari na kuzua gumzo mitaani.

Kwa kuanzia tu ;
1. Mchakato wa katiba mpya
2. Matukio ya kumwagiwa watu tindikali zanzibar na bara
3. Sakata la madawa ya kulevya
4. Wimbi la maaskari feki
5. Sakata la Kapuya juu ya tuhuma za ubakaji
6. Sakata la Zitto na wenzie kwa usaliti ndani ya CHADEMA

Haya tuendelee hapo nilipoishia wakuu
 
Sakata la Mengi na Muongo
Sakata la umeme
Sakata la min kabaang Lemaa
Sakata la Slaa kuzuiliwa kwemda kigomaa
...
 
Mabilionea wa ARUSHA kupoteza uhai....hadi Nyoka wakawa na mashaka ya uchumi wa R-CHUGA kuyumba
 
Wana jf mabibi na mabwana itifaki imezingatiwa;
Mwaka 2013 ndo unaishia hebu tujikumbushe matukio yaliyoitikisa TZ na kuripotiwa kwa uzito wake katika vyombo vya habari na kuzua gumzo mitaani.

Kwa kuanzia tu ;
1. Mchakato wa katiba mpya
2. Matukio ya kumwagiwa watu tindikali zanzibar na bara
3. Sakata la madawa ya kulevya
4. Wimbi la maaskari feki
5. Sakata la Kapuya juu ya tuhuma za ubakaji
6. Sakata la Zitto na wenzie kwa usaliti ndani ya CHADEMA

Haya tuendelee hapo nilipoishia wakuu

lililotikisa kabisa ni lile la kuchomwa majengo ya kuabudia haswa makanisa na watu wanaojulikana bila kuchukuliwa hatu yeyote
 
Waziri wa elimu,kukosa elimu kiasi cha kushindwa kutambua zimbabwe iko wapi na pemba iliko,eti zimbabwe ni muungano wa kisiwa cha pemba,waziri huyo!!! Hovyooo ccm.
 
Back
Top Bottom