Uchaguzi 2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

Amini usiamin Gwajima kushinda n lazima Devi maana mambo ya dini na chama ni vitu tofauti kila mtu akiwa kansan kwake anapigia debe mbona waislamu wanatuita sisi makafiri na kwao n thawabu kubwa kumbadilisha mkristo kuwa muislam mim nilkuwa muislam n nilipobadili din nilitengwa na familia na kuonekana kama muasi hyo haijalishi aliongea nin tunachotaka wanakawe n maendeleo tu
Waislam na Wakatoliki wa Kawe tumeshatumiana hii video na msimamo wetu ni kumuaibisha huyu shetani kwenye sanduku la kura. Full stop
 
Gwajima has a case to answer. How do you solicit for votes from the people you don't respect their creed?

Surely Gwajima does not deserve to be elected to represent the people whom he despises their faith.
 
Waislam na Wakatoliki wa Kawe tumeshatumiana hii video na msimamo wetu ni kumuaibisha huyu shetani kwenye sanduku la kura. Full stop
Sawa tutaona nani mshindi hyo siku maana kila mtu anauzuri wake na ubaya wake wewe unaangalia alisema nin lakin kumbuka kuna watu pia aliwasaidia n hao hao waislamu na wakisto kule salasala amewawekea maji nyumba 200 kajenga miskiti na kwa taarifa yako Gwajima alishawahi kuishi msikitin
 
Hapana aisee huyu kunguru hajatusaidia chochote zaidi ya kutukuna dini zetu na ushahidi wa video tunao na jana kwenye jumuiya zote zilizofanyika Kawe tumeijadili hii video kama tulivyoelekezwa na wajumbe wa baraza la walei na tumeamua huyu shetani hatumpi kura na tunahakikisha Halima anapata kura za kutosha.

Kumshinda Gwajima ni kumshinda shetani.
 
Kwa Akili zako tu hzo ndogo ungepaswa kutambua kamwe mtu hawezi kufanya vile vitu akajirecord hasa mtu mwenye wazifa mkubwa kama Gwajima ukiwaza Mara mbili utagundua ile issue sio kweli ndo maana hakushitakiwa kama watu wengine Muachage chuki mda mwingne
kwani ccm wanashtakiana? ni yeye alikuwa anapiga lile uno
 
Andikeni yote mnayoandika lakini mjue Halima hatumtaki Kawe ,takataka ile tunaitupa kwenye dastibin Tarehe 28
Siku hiyo mtalia Sana
 
Back
Top Bottom