Kumbukizi: Nani kama Nyerere (RIP)?

Nilichojifunza kwa Nyerere ni kuwa "HAKUWA MBINAFSI" Tofauti kabisa na viongozi wa awamu zilizomfuatia.
Hasa awamu tatu za mwisho . Hawa tumeona wakichukua Mchuchuma & tumeona juhudi ya kuifanya Chato ulaya nk . Nyerere hakuwa hivyo .

Wabinafsi hawa hapa kwa majina yao:

1. Jiwe - mlipaji mkuu wa Serikali mtoto wa dada. Mwenyekiti uvccm mtoto wa dada. Viwanja vya ndege kwake. State of the art bridge - ukweni. Posts zote muhimu ma home boys!

2. Hangaya - 2025 rais mwanamke huyu wa sasa siyo. Katiba mpya siyo kipaumbele. Air Bus hiyo ndiyo dege la misele.

3. Diblo - kukomaa na mapambio kama mtu huna akili nzuri.

Nani kama huyu?

Mwalimu Nyerere alipunguza mshahara wake kwa uzalendo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom