Kumbukeni kuhakiki majina yenu kwenye vituo vya kupiga kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbukeni kuhakiki majina yenu kwenye vituo vya kupiga kura

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUKUTUKU, Oct 26, 2010.

 1. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ikiwa zimebaki siku chache kabla kupiga kura wanaJF nawakumbusha kuhakiki majina yenu kwenye vituo vya kupiga kura,ili kama kuna dosari ishugulikiwa mara moja.Ili tuweze kufikia malengo yetu ya kuchagua kiongozi bora mwaka huu!!!!!!!!

  Uchaguzi wa mwaka huu, hatudanganyiki kwa kofia na tisheti,tunahitaji kiongozi bora na si bora kiongozi,kwa pamoja tutashinda!!!!
   
Loading...