kumbu kumbu mjarabu

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
1497797_260210007468254_2011340704_n.jpg
 
Kila nafsi itaonja umauti...
RIP JK &MADIBA.
atleast mlifanya yenu hapa duniani.
 
JKN na NRM wameshakutana kwa Mungu. Kuna mdau alitoa picha hapa JF inayoonesha hao wawili wakizungumza. Nyerere
akamwuliza Mandela: 'Ehe best, za duniani? Yule kijana Jakaya anaendeleaje? Jibu la Mandela: Naambiwa yuko bize na katiba mpya.
 
Back
Top Bottom