Kumbomoa Mkapa igunga wakati mgombea ni Dr Kafumu kunawasaidia CUF, CHADEMA katika siasa?

tatizo la wabongo ni longolongo nyingi. muda wote wa kampeni utawasikia wakitupiana madongo na ni wachache wataongelea mipango ya kuwakomboa kiuchumi wana igunga. unajua umasikini wetu upo sehemu mbaya sana, KICHWANI! akili zetu afadhali ya kondoo. na ndio maana unaona wachangiaji wengi hapa ni waropokaji wakati wamepata nafasi adimu ambayo watz wengi wanaitamani ili kutoa maoni yao. mnaoimaliza nchi hii ni nyinyi wezi mnaofanya kazi serikalini ambao kila siku mnabuni semina na makongamano ili kujilipa posho (pa1 na wabunge wa chadema kasoro zitto). so usishangae watakaotumia majukwaa kule igunga kuwachafua wenzao ili kujitafutia umaarufu kama walivyofaya kwenye issue ya posho bungeni. eti sababu ni kuwa kuna wengine wanakaa tu bungeni hawaongei hivyo wasiposaini fomu wataonekana hawajafika bungeni....upuuuuuuuuziiii mkubwa!we unakataa posho ya kukaa then unakuja na sababu ya kipumbavu kama hiyo as a justifikasheni?
 
Back
Top Bottom