Kumbikumbi watikisa (Ubungo) Dar

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Wakuu nipo dar kikazi
nimefika maeneo ya stendi ya mkoa,OLCOM na maeneo ya mitaa hiyo muda huu kuna kumbi kumbi wengi sana

kumbuka kumbi kum bi hawa hunaswa kwa mitegoi maalum na ni mboga safi sana na maarufu kule Kagera.

Lakini cha ajabu pale Olcom hasa kwenye ATM za CRDB,NMB wapo kibao kwa mana kuwa mtu anaweza kukusanya madiaba na madiaba.

Licha ya kwamba shida yangu ilikuwa ni pesa kwenye moja ya ATM hizo lakini nashanga watu wanaolalamika kuwa siku hizi hakuna kazi wakati UKUSANYAJI WA hao kumbukumbi ni Mradi tosha kabisa

Hivi hapa Ubungo hakuna wenyeji wa mkoa huo,changamkia dili hili jamani

mimi mate yananidonbdoka kuona kitoweo hiki kinakanyagwa na magari jamaniiiiii

Cha ajabu nimeona jamaa mmmoja akisema eti hawa wadududu kero

kero dar,bukoba neema
 
sio bukoba tu hata MBY no mboga kwa sana. Unajua mjini watu wanajifanya wamestaarabika na kwamba hawawezi kuokota wadudu
 
sio bukoba tu hata MBY no mboga kwa sana. Unajua mjini watu wanajifanya wamestaarabika na kwamba hawawezi kuokota wadudu

Unajua kama kuna biashara inayolipa sana duniani ni ile ambayo mtaji wake ni akiili kuliko pesa

ebu fikiria mtu anatumia askili yake,nguvu szake anaokota wadudu hao kwa muda wa masaa 3 hapo ubungo hawezi kukosa tsh 1M kesho yake

wabongo changamka

niwape siri kule Bukoba kati ya vitu vinavyowatajirisha watu huko ni kukamata senene,kama kuna mtu anabisha aseme

kule mtu akipata diaba 3 kavu anahesabu 10M CASH hapo hawawapela dar akiwafiukisha hapa kwa wanaojifanya wastaarabu hapo ni mambo mengine,wabongo AMKA AMKA achana na Siasa na Mapenzi.............
 
Yeah, nimeona refa wa mechi yaleo ameingiwa na mdudu jichoni nikajua ni hayo tu na kumbikumbi walikuwa kibao nimeona kwenye kamera ya dstv uwanja wa olympic wa Mkapa wao wanauita uwanja mpya!!
 
mama yangu kawaleta sene huko, mpigeni jek! Pia kwa diaba 3 inaweza kuwa 1 to 1.5M. M10 too much byabakuru! Mh
 
hebu nisahihishe kidogo.....ni kumbikumbi au senene.....na kwenye madiaba yanatengeneza kipimo gani......kilo, tani n.k?
 
hebu nisahihishe kidogo.....ni kumbikumbi au senene.....na kwenye madiaba yanatengeneza kipimo gani......kilo, tani n.k?

kuhusu aina ya wadueu atajibu Byabato na kuhusu diaba ni kiasi cha ndoo bubwa mbili hivyo can make up to 40Kg or less
 
hebu nisahihishe kidogo.....ni kumbikumbi au senene.....na kwenye madiaba yanatengeneza kipimo gani......kilo, tani n.k?[/COLOR]

Oh.
Hawa ni kumbi kumbi ni jamii ya mchwa.Senene ni jamii ya Panzi.
Hawa wanaokotwa,wanaoshwa,wanapikwa kwa maji safii kisha wanaondolewa na kuwekwa kwenye chombo cha wazi tayari kwa mboga.

Ni watamu sana,virutubisho kibao.
kWA HIYO WANAPIMWA KWA KILO kama kawaida wakiwa wengi.
Unao nikutembelee kwani mahali walipo wengi bishara ya nyama au samaki kiama
 
oooh....basi hao kumbikumbi wakati nikiwa mtoto tulikuwa tunaenda kwenye kichuguu mchana tunafunika mashimo yao....jamaa wanajua ni nite kali wanaanza kutoka....kwa raha zetu tunajimuvuzisha
 
Back
Top Bottom