Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Mzee Warioba jana alishauri tuache ya nyuma tuangalie mikataba mipya.MsemajiUkweli Unatakiwa Utambue kuwa kwa sera za nchi hii, adui wa taifa ni adui wa kila mtanzanania na vivyo hivyo kwa kinyume chake.
Zitto kabwe alipambana kadiri ya alivyoweza, lakini alishindwa kuwafanya lolote kwani walikuwa wanakingiwa kifua na serikali, na hapa ndipo usemi usemao "IF YOU CAN'T BEAT THEM, JOIN THEM" (Kama huwezi pambana nao, basi ungana nao). ZZK hakupenda kufanya hayo unayotaka kutuaminisha, bali mfumo mzima ulikuwa haupo upande wake na ulimlazimisha kufanya na kutenda kinyume na maono na misimamo yake.
Ukiangalia kauli hii ni muhimu kwani hili Barrick halitaacha mtu salama