Kumbe "ZENJI" sio ya kitoto kabisa

Kunyimwa kumiliki ardhi Zenji

Huo si unyanyasaji mkuu, ni masuala ambayo wenyewe wamejipangia. Kesi za Ardhi Zanzibar wazanzibari wenyewe wana migogoro tele mpaka kesho na haishi, achilia mbali kuanza kuwashirikisha na wabara. Zanzibar ni ndogo sana kwahiyo lazima suala la Ardhi liwe la umakini sana
 
Mko sensitive sana na wabara kuliko mambo yenu ambayo yanahitaji kurekebishwa. Kila siku mnawasingizia wabara. Wabara hawana muda na ujinga ujinga wa huko kwenu
Upo sahihi kwa kiwango fulani, ila unaposema wabara hawana muda wa ujinga wa Zanzibar hupo sahihi, Tatizo kuu la Zanzibar ni kubwanwa na serekali ya SMT ambayo inaongozwa na wabara, yawezekana wewe hufahamu matatizo yaliyokuwepo ndio mana ukawa unasema hayo.
 
Hata leo hii serikali inaongozwa na Wabara, Fikra za wapi hizi!?
 
Hata leo hii serikali inaongozwa na Wabara, Fikra za wapi hizi!?

Serekali si mtu mmoja mkuu, serekali ni mfumo mzima wa utawala. Unaanza kwa raisi, mawaziri, wakurugenzi na makatibu, Bunge, Mahakama, vyombo vya usalama kuanzia TISS, JWTZ, TANPOL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom