Elections 2010 Kumbe yule Bashe Wa Tabora Ndo CEO Wa New Habari???

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kweli dunia inaficha mengi kutoka Generali hadi kwa RA hadi kwa Bashe???Kazi ipo!
 
Uko chini jua, dunia ndivyo ilivyo! Maisha yanashika rangi kwa jinsi hiyo.:coffee:
 
kakakiza mambo vipi mtu wangu
Mimisijambo za kwako?

usofu hayo yanayofichwa ipo siku yata fichuka
Inmaana ccm imekamatwa na mafisadi kotekote sasa nimepata picha kila anaye gombea ubunge kupitia chama tawala mizizi yake imeanzia mbali!!CCM imekamatwa kama mnyama wa MOZILLA FIRE FOX alivyokamata dunia!!!

Mkuu huo ndiyo ukweli wenye,pole sana kwa kuchelewa kuujua!!

Hapo kwenye RED huo ni ushamba, kwani pm private meseji kazi yake ni nini? na vile vile ipo chat room, sasa what is the meaning of this? tuache utoto
Kaka silazima katika chat room au pm!!Kwani chat room vasion iliyotumika yawezekana kwake haifanyi kazi mpaka awe na Java!Mimi binafsi sina chat room imeweka mashariti mengi nimeamua kuacha!!Nawewe umekosea kama ulitaka kumkosoa hapakuwa mahali paki unge m-PM tungeona ustarabu wako!!Au ungetumia chat roomj!!Unakosoa kwakufanya makosa nani mpuuzi kati yake na wewe??

Punguza ukali kaka Matola
Mwambie ajifunze ustaarabu wa kiarabu!!
 
Mimi sijui tunashangaa nini. Heshima ya magazeti ilishuka siku nyingi na kilichopo sasa ni mipasho tu ya kutukana watu kwenye RAI na Mtanzania na kuimba mapambio ya kumsifu Rostam Aziz na Mungu wao EL. Unahitaji mtu wa hovyo na asiye na maadili ya taaluma kama Bashe ili aendeshwe kama katuni. Wakati wa Rose Mwakitwange haya yalikuwa yanatokea kwa nadra. Miaka hii mitano tutaona ya firauni, nini haya ya Mussa mnayoshangaa nyie. Tunasubiri alhamisi hii tuone aina mpya ya matusi kwa sitta, mengi, mwanahalisi na kujaribu kuwapa kinga RA na EL kwa kusingizia Rais anapigwa vita. Wamkome Rais wetu! Wao na Rais siyo synonimous na wala hawana mapenzi mema naye!
 
RA, RA, RA, RA, RA, Braaaaaaaaghhh! :sick: Is he impervious ?????
 
wakati watu wanamuonea huruma kwa kutoswa kugombea NZEGA kwa kigezo si RAIA watu walimtetea sana humu JF kisa tu CCM ndio wamesema huyu kijana si Raia. Lakini wengi wa wachangiaji hawamfahamu huyu jamaa. Huyu mtu ni kijana wa RA nawashangaa wanaosema kuwa RA sio raia ni muiran lakini mpambe wake msomali wakawa wanamtetea ni raia, ukweli huyu dogo ni kibaraka na mfuasi wa RA na EL. Ndio maana RA alimtoa Mwananchi na kumpeleka Habari Corporation ili awe msimamizi wa mambo yote ya pale HABARI CORPORATION jiulize kwa nini ROSE MWAKITWANGE amekimbia pale na baadhi ya wanahabari?

Wakati SELELII analalamika kuwa zaidi ya tsh 500ml zimetumika kumng'oa ktk ubunge nzega watu mlidhani maneno ya mfa maji, sasa leo ndio mnaona mkono wa RA na EL ulivyo mrefu ndani ya CCM na nchi hii. Wananchi wa NZEGA(CCM) wenyewe hawajui kuwa wanatumika ktk siasa za maji taka ktk nchi hii, ndio maana nilichangia humu JF kuwa haya SHIME wana CCM wamuunge mkono KIGWANGALA ili kama CDM itakosa jimbo hilo na kuchukuliwa na CCM heri aingie KIGWANGALA na SI FISADI mtoto BASHE.

BASHE ni mfuasi muaminifu wa RA na EL baada ya maelezo haya nita weka (ktk new thread)mahojiano yake na KABANDA wa TANZANIA DAIMA jinsi mwisho wa mahojiano uone ni wanasiasa gani anao wa admire, na alipohojiwa kuhusu RA na EL alijibi nini? MAHOJIANO HAYO YALIKUWA WAKATI WA SAKATA LAKE LA URAIA
 
Mimi bado naona wote nimaswahiba!!Ni nguruwe na ngiri wote niwalewale!!

Ndiyo maana nimesema ukiona mtu hukumjua awali katika ccm anagombea nafasi ya juu ujue nyuma yake kuna zimwi!!Ukicheza naye zimwi litakumeza!!!!
 
Ndio maana alikataa kujiunga cdm pamoja na hujuma waliyomfanyia ccm,anadhaminiwa na the most tanzanian bussiness tycoon,nasikia tycoon ameoa mama mdogo yake bashe
 
mipango mji =
avatar34163_1.gif
 
shamba la bibi oyee!!! kila corner kuna dudu la aina yake yani bashe huyu ambaye sio rai anakuwa CEO wa rostam( boss of bosses) hivi yuko nchini kwa permit aina gani, msaada katika tuta tafadhali
 
Back
Top Bottom