Kumbe watoto wa uswazi ni washenzi kiasi hiki? Yamenikuta leo

sipati picha hiko kichurachura ambacho mngerushwa kama mngekamatwa
Tulishawahi kamatwa ila na wananchi ambao wanafanya biashara pembeni pale maana walikiwa wanatuona kila siku tunachofanya. Aisee tulichapwa bakora na welding waya matako yalivimba balaa.
Sikurudia tena ule mchezo😂😂😂
 
Ha ha una bahati ungekuta ni jumba la vipepeo ungeisoma namba , kuna siku jamaa alijichanganya akaenda kugeuzia kwenye geti flani hivi kabla hata hajarudi nyuma geti likafunguliwa huku anaitwa na vidole aingize gari ndani taratibuu akazama ndani kinyonge
 
Jr
 
Abunuwasi aliwahi kujipata ana Nywele nyingi kichwani. Alihitaji kwenda saloon. Akampata mtoto mwenye nywele nyingi mtaani. Akamshika mkono kwenda nae saloon. Kule saloon wa kwanza kunyoa akawa Abunuasi. Alipomalizwa kunyoa akaondoka. Mtoto nae akanyolewa. Alipomalizwa akaulizwa kaenda wapi babako! Mtoto akajibu yule sio Babangu. Kanikuta mtaani akanambia twende tukanyoe saloon!
Leo hii imenitokea mtoto yuko anachanja card mbele yangu simjui ukanunua mavitukibao. Nikaona hii shida sasa nikamwambia tupishe safisha card chanja upya hee.
Yule binti cashier si kanijazia kila kitu cha yule mtoto kwenye bili yangu? Najiuliza how imekua this expensive? Nikarudi kumuuliza anasema si umelipa na alivyoshika mwanao. Ndo nikawa mkali nipe hela yangu na huyu mtoto simjui.
Alipe mwenyewe,
aah mi nilijua mwanao karudisha
 
Huwezi kuamini kilichonikuta mchana tuu..bado binafsi siamini kama nimeweza kuingizwa chaka na vitoto vidogo ambavyo vinaweza kuwa vijukuu vyangu...

Niko mitaa ya Mikocheni nyuma ya Tanesco nilikuwa mpitanjia kuingia mtaa wa pili..sio mwenyeji kivile..nimejikuta naibukia mtaa wa madon lakini huruma zangu kidogo ziniponze.

Nimekuta vitoto vitatu kwenye geti la nyumba ya maana vinajitahidi kurukia kengele ya getini..basi nikajua wana uhitaji na wenye nyumba nikasema ngoja niwasaidie.

Ile kusogea tu wakakaa pembeni..nikaamini nachukua point 3 muhimu za upendo nikanyoosha kono langu na kubonyeza kengele ..nikasikia inaita...kugeuka nione furaha na shukrani kwa wahitaji,kwa mshangao na tarahuki nikawaona wanakimbia ..mmoja akasema wee hapo sio kwetu..

Natamani ungeniona hatua nilizoondoka nazo hapo... Watoto wa uswazi wa uswazi wapuuzi sana

Jr
Acha uongo wewe.......
Hii umeikopi kwenye kitabu maarufu kiitwacho ENGLISH GRAMMER I
Wala siyo mikocheni.
Umeibadili stori ili tukuone wewe ni wa mitaa hiyo.
Pole sana....
Mbinu hiyo imedunda. Buni nyingine
 
Kila kitu malipo ni hapapa Duniani ha ha
 
Acha uongo wewe.......
Hii umeikopi kwenye kitabu maarufu kiitwacho ENGLISH GRAMMER I
Wala siyo mikocheni.
Umeibadili stori ili tukuone wewe ni wa mitaa hiyo.
Pole sana....
Mbinu hiyo imedunda. Buni nyingine
Kitu cha Arusha kitakuwa kimejibu kichwani ha ha
 
Huwezi kuamini kilichonikuta mchana tuu..bado binafsi siamini kama nimeweza kuingizwa chaka na vitoto vidogo ambavyo vinaweza kuwa vijukuu vyangu...

Niko mitaa ya Mikocheni nyuma ya Tanesco nilikuwa mpitanjia kuingia mtaa wa pili..sio mwenyeji kivile..nimejikuta naibukia mtaa wa madon lakini huruma zangu kidogo ziniponze.

Nimekuta vitoto vitatu kwenye geti la nyumba ya maana vinajitahidi kurukia kengele ya getini..basi nikajua wana uhitaji na wenye nyumba nikasema ngoja niwasaidie.

Ile kusogea tu wakakaa pembeni..nikaamini nachukua point 3 muhimu za upendo nikanyoosha kono langu na kubonyeza kengele ..nikasikia inaita...kugeuka nione furaha na shukrani kwa wahitaji,kwa mshangao na tarahuki nikawaona wanakimbia ..mmoja akasema wee hapo sio kwetu..

Natamani ungeniona hatua nilizoondoka nazo hapo... Watoto wa uswazi wa uswazi wapuuzi sana

Jr
Yallah mbavu zangu
 
Back
Top Bottom