Leo katika mechi ya Somalia na Tanzania tulikua tunaangalia mechi katika hotel moja hapa Ar. Cha kushangaza wasomali kama kumi hivi waliokuwa wanaangalia mpira hapo walikuwa wakishangilia somalia. Na baada ya kufungwa walichukia sana. Mimi nikajiuliza kama kweli ni watanzania kwa nini waishabikie Somalia?. Hapo niligundua kuwa inawezekana hawa ni wahamiaji haramu. Serikali iwe makini sana kwani mji wa Arusha inaonyesha ndio makao makuu ya wahamiaji haramu wa wakisomali.