Kumbe wasomali wengi wanaoishi tz ni wahamiaji haramu. Tazama hapa.

Sengeon

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
529
112
Leo katika mechi ya Somalia na Tanzania tulikua tunaangalia mechi katika hotel moja hapa Ar. Cha kushangaza wasomali kama kumi hivi waliokuwa wanaangalia mpira hapo walikuwa wakishangilia somalia. Na baada ya kufungwa walichukia sana. Mimi nikajiuliza kama kweli ni watanzania kwa nini waishabikie Somalia?. Hapo niligundua kuwa inawezekana hawa ni wahamiaji haramu. Serikali iwe makini sana kwani mji wa Arusha inaonyesha ndio makao makuu ya wahamiaji haramu wa wakisomali.
 
Kwanza tunaanza na wewe kujua historia yako kisha ndo tutafikiria kama pana haja ya hao wapenda haki na wenye kujitambua kuwafuatilia uwepo wao hapa tz.
 
Asili baba ina nguvu mnoo, hakuna asiyependa kwao labda wewe peke yako. Ukitaka unione napenda asili ya kwetu niwekee LIzombe uone ntavyocheza na kuimba " binti kimamulo aiyee ubaya wako aiyee kiuiba kuku aiyee, ndindindindi kidikidi, mxiiiiiiiii acha na asili kijana ngoja niense youtube nikasikilize lizombe kwanza ama!
 
Kama makontena kadhaa yameshakamatwa na wasomali ndani, unategemea mangapi yalifanikiwa kuwavukisha salama. Hopefull ni zaidi ya yaliyokamatwa. Hivyo kifupi wahamiaji haramu wa kisomali ni wengi sana zaidj ya tunavyofikiri. Serikali lazima ichukue hatua mapema
 
Leo katika mechi ya Somalia na Tanzania tulikua tunaangalia mechi katika hotel moja hapa Ar. Cha kushangaza wasomali kama kumi hivi waliokuwa wanaangalia mpira hapo walikuwa wakishangilia somalia. Na baada ya kufungwa walichukia sana. Mimi nikajiuliza kama kweli ni watanzania kwa nini waishabikie Somalia?. Hapo niligundua kuwa inawezekana hawa ni wahamiaji haramu. Serikali iwe makini sana kwani mji wa Arusha inaonyesha ndio makao makuu ya wahamiaji haramu wa wakisomali.

Na wale wahindi wa Kariakoo wanashabikia SIMBA na YANGA, unajua wanatoka kijiji na mkoa gani hapa Tanzania?
 
Asili baba ina nguvu mnoo, hakuna asiyependa kwao labda wewe peke yako. Ukitaka unione napenda asili ya kwetu niwekee LIzombe uone ntavyocheza na kuimba " binti kimamulo aiyee ubaya wako aiyee kiuiba kuku aiyee, ndindindindi kidikidi, mxiiiiiiiii acha na asili kijana ngoja niense youtube nikasikilize lizombe kwanza ama!

Receive my sincerely 'like' from the bottom of my heart mlongo vangu.
 
Mtoni-Mtongani hapa Dar wako wengi sana!

nyuma ya viwanja vya sabasaba-dar wana gereji yao ya kutengeneza magari makubwa ya mizigo.ukifika hapo hata fiat zile za kizamani utazikuta.godfather wao kwa dar ni mmliki wa tansoma hotel.
 
Asili baba ina nguvu mnoo, hakuna asiyependa kwao labda wewe peke yako. Ukitaka unione napenda asili ya kwetu niwekee LIzombe uone ntavyocheza na kuimba " binti kimamulo aiyee ubaya wako aiyee kiuiba kuku aiyee, ndindindindi kidikidi, mxiiiiiiiii acha na asili kijana ngoja niense youtube nikasikilize lizombe kwanza ama!

niwuka lepe mpaka nimala wembe×2...mwe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom