Kumbe wasomali wengi wanaoishi tz ni wahamiaji haramu. Tazama hapa.

Leo katika mechi ya Somalia na Tanzania tulikua tunaangalia mechi katika hotel moja hapa Ar. Cha kushangaza wasomali kama kumi hivi waliokuwa wanaangalia mpira hapo walikuwa wakishangilia somalia. Na baada ya kufungwa walichukia sana. Mimi nikajiuliza kama kweli ni watanzania kwa nini waishabikie Somalia?. Hapo niligundua kuwa inawezekana hawa ni wahamiaji haramu. Serikali iwe makini sana kwani mji wa Arusha inaonyesha ndio makao makuu ya wahamiaji haramu wa wakisomali.

Hata Watanzania waliopo nje ya kwao na wana uraia halali wa nchi wanazoishi na wengine wamezaliwa hukohuko na wazazi wa Kitanzania lakini nnakuhakikishia ikicheza Tanzania na nchi yao, wataishangilia Tanzania.

Asiye na asili ni mtumwa!
 
Hata Watanzania waliopo nje ya kwao na wana uraia halali wa nchi wanazoishi na wengine wamezaliwa hukohuko na wazazi wa Kitanzania lakini nnakuhakikishia ikicheza Tanzania na nchi yao, wataishangilia Tanzania.

Asiye na asili ni mtumwa!

Tatizo la wasomali wengi ni magaidi
 
Ndugu yangu acha matusi na ubaguzi,kama hujui mambo ya uraia usiwaite wenzako majina mabaya!.Kuna watanzania wenye asili ya somalia wamepata uraia na lakini uasilia uko palepale hawazuiwi kudhamini achilia mbali kushangilia.Inaonekana mwenzetu wewe ukipata uraia ufaransa utatusahau.
 
I hate these people,i hate them so much,because they are racist,,,,Allah forgive be,but i hate Somalese kwakweli,,,
 
Nasema, magamba ya kenge hayatolewi kwa maji. Msomali yeyote ni jahangili tuu. Hata mngemfanya Waziri wa TANAPA tembo hapitii machoni pake. Akimkosa kwa gun atampiga chini kwa mabogasumu. Tusker zake ni alergy kwa msomali. Pita mahali walipo wawili tu. Lugha ni ya kikwao tu utadhani wapo Mogadishu. To hell with them all. Hawana shukrani wala uzalendo wowote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom