Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 937
- 817
Nina mchumba ambae kiukweli moyo wangu umezia kumuoa, sasa kuna wakati alikuwa akitoka chuo anaelekea nyumbani huko Kanda ya ziwa, alifika mwanza usiku wa nikamshauri aende kwa rafiki yangu hapo Mwanza alale kesho yake aendelee na safari.
Hapo kwa rafiki yangu kuna kijana wa mwenye nyumba ambae pia ni kama rafiki yangu japo sio kivile, sasa mchumba wangu alipokelewa na mke wa rafiki yangu na wakalala pale, kesho yake mke wa rafiki yangu alimsihi abaki pale hivyo hakuondoka.
Kijana wa mwenye nyumba akatambulishwa kuwa huyu ni mchumba wa wa fulani yani jina langu, akachangamka akapewa no ya simu na mchumba wangu. Sasa ili kuuwa soo mchumba wangu alinipigia simu akaniambia jamaa huwa wanawasiliana nae ila akasema mazoea yamezidi na eti hamuelewi kwani huwa anamtumia vocha sana bila hata kumuomba, nilimjibu we acha anisadie matumizi, nilisema hivyo nikiamini kuwa kwa kuwa ameniambia basi hakuna kitakachotokea.
Basi mchumba akawa ananipa taarifa maendeleo mala oo kaninunulia kifurushi, mara leo katuma elfu 10 hapo nikaanza kishtuka wakati huo nilikuwa niko chuoni so nilipomaliza ilibdi niende pale kwa rafki yangu hapo sasa yule jamaa akanipa simu yake iikuwa ina tatizo kidogo nimrekebishie, loo! Ghafla nikaingia kwenye sms, sikuamini macho yangu yani kuna pesa zinatumwa nyingi kuliko ninazoambiwa, kamnunulia hadi smart phone.
Kituko kilikuja nilipomstopisha mawasiliano na yule jamaa aliniambia si ulisema akusaidie matumizi.
Ujumbe wangu kwa wanaume mchumba wako akikuambia kuna mtu ananitaka usizani hampendi, anakupiga changa la macho tu.