Kumbe wapenzi huwa wanacompare mapenzi

Gudboy

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
867
77
Jana nilikua nimelala, nakumbuka ilikua usiku wa manane nikaishiwa na usingizi. Mara nyingi huwa nawacha radio ikiimba hadi asubuhi. Niliposhtuka nikasikia kipindi kilikua kinaendelea cha Brother Chiko mtangazaji wa Magic fm (hii ndio radio niipendayo) akiendesha kipindi chake cha malavidavi. Pale studio alikua na mgeni ambaye alikua anaelezea maswala ya mapenzi. Kitu ambacho kilinivutia ni pale yule mgeni aliposema watu wengi huwa wanapenda kupima mapenzi. Akatoa mfano: Unaweza kuwa na mpenzi wako mmekaa miaka hata zaidi ya 3, lakini akapata mpenzi mpya lakini akiendelea na wewe pia, sasa atacompare nani anampenda sana, mathalani kujali, nani analeta zawadi, nani anamusms wakati wa kulala then ndio ataamua amchague yupo.

Wadau wa JF mimi sina experience sana na hili swala, Je kuna ukweli wowote? Naombeni mawazo yenu
 
...pamoja na kwamba kuna ukweli katika hilo, nawashauri wapunguze wenye tabia hizo kwani hupelekea kupunguza mapenzi bila kukusudia...

Kila mtu ameumbwa kwa namna yake na mapungufu yake. Kila umpataye atakuwa na majaaliwa yake na mapungufu yake, kama ulivyo mwenyewe, hujakamilika kwa vyote!...
 
Last edited:
...pamoja na kwamba kuna ukweli katika hilo, nawashauri wenye tabia hizo kwani hupelekea kupunguza mapenzi bila kukusudia...

kweli kabisa
 
sawa kabisa, nakubaliana na wewe, so tunatakiwa tuyakubali mapungufu ya wenzi wetu. Gud sana nimeipenda hii
 
Gudboy, unaweza kukubaliana na mapungufu lakini pia jitahidi kucompare mambo mengine bila kumwambia ili kuboresha your relationship!!

Ku-compare comes naturally hata kama hutaki, its something which cant be stopped mazee, just use it carefully and to your advantage!
 
Warm greetings to you all.

I would like to thank you all for your active participation in making arguments to this glob, and by doing so you disseminate knowledge to others.

lets join hands and cooperate to make our tz look diffrerent
 
haya mamabo ya kucompare mapenzi nayo ni hatari unaweza kubadilisha ukapanga line ndefu ka tren

muulize tu honey mie namiss sms zako na yeye ataanza kujiongeza taratibu.

ila kuna wengine kuanza kutype vi sms ni ugonjwa
 
Warm greetings to you all.

I would like to thank you all for your active participation in making arguments to this glob, and by doing so you disseminate knowledge to others.

lets join hands and cooperate to make our tz look diffrerent
karibu sana mzalendo feel at home maana hiki ni kijiwe cha wazalendo wenzio ;)
 
Haya matatizo yote yanasababishwa na hii dhana ya mwanmke mmoja-mwanamme mmoja.

Hatujaumbwa hivyo, ndio maana matatizo yote haya yanatokea. Kima mtu anataka amiliki mtu mwingine.

Kuna hawa watu wanaitwa Mosuo wako china huka. Natamani ningiezaliwa huko. Hawa watu utamaduni wao umetulia. Na hauwezi ukasikia mwanamke analalimika sijui wanume wako hivi au vile, na uwezi kusikia wanaume wanalalamika wanawake wako hivi au vile.

Yaani kwa mapenzi, ile ndio perfect society.

Mwanamme ukitaka kutiana na demu, unaenda tu geto kwake usiku. Akikukubali unatiana naye ila tu uhakikishe umeondoka kabla ya majogoo. Asipokukubalia nakutoa nduki.

Ukimtia mimba wala hakuna anayejali baba wa mtoto nani. Familia yake ndio itamtunza. Ila wewe sasa kazi yako ni kutunza watoto wa dada zako lol

Perfect!

I love dem!
 
hapa yaaani sijaelewa hata kidogo unamaanisha nini
 
Hiyo mbona hata hapo kusini Ntwara kwa Chingaz iko hivo toka enzi na enzi. Yaani kule kama huna dada ndio huna warithi hivooo!
 
Dogo Gudboy haya yapo sana mtu akiona mpya miyeyusho anarudi kwa yule yule wa zamani ndo maana iwa nasema mahawala iwa hawaachani kamwe. Yeah iwa tuna compare mapenzi na kila kitu mautundu kunako lazima uangalie je wanazidiana vp na yule Kigoma je huyu wa Lindi ana kosa nini.
 
hapa yaaani sijaelewa hata kidogo unamaanisha nini

Labda kukusaidia kwa kiswahili ...

Kabila la Mosuo lipo huko china, na wao mama ndio kiningozi wa familia. Urithi ni kwa watoto wa kike tofauti na huku kwetu.

Mtoto wa kike akishafikia kubalehe anapewa chumba chake. Na baada ya hapo ana ruksa ya kumkaribisha mwanamme yoyote anayetaka yeye chumbani kwake usiku. Na anaruhusiwa hata kubadilisha anavyoataka.

Mwanamme ukija chumbani kwake usiku ana haki ya kukukyubali au kukukataa. Ukikukataa inabidi ugeuze kwa aibu. Akikukubali basi ndio kama vile, ila uhakikishe unaondoka kabla ndugu zake hawajaamka asubuhi, na urudi nyumbani kwako. Maana yake ni kwamba uhusiano wenu huo hauwahusu wengine.

Mwanamke akipata mimba hivyo na mtoto kuzaliwa, mtoto anatunzwa na familia ya mwamke. Na baba yake anaweza akawa hata hajulikani. Familia ya mwanamke na wajomba wa mtoto ndio wanajukumu la kulea mtoto. Baba hatakiwi hata kuleta uso wake, hakuna anayemjua anyway. Baba huyo yeye jukumu lake ni kusaidia kule watoto wa dada zake katika familia ya mama yake.

Kwa jinsi hiyo basi kwenye kabila la Mosuo hakuna ndoa.

Kwa kabila la Mosuo hakuana kumilikiana. Jamii zetu zina mfumo wa ajabu sana. Yaani mtu akishakuwa gf wangu basi ndio anataka amiliki mimi, muda wangu, etc. Mtu akishakuwa bf wako basi ndio unakuwa kama mali yake. Mwanamke akiwa na mtoto basi mtoto ndio kama mali yake.

Kwa watu wa Mosuo mtoto ni wa jamii nzima na jukumu la kulea ni kwa familia ya mama yake. Ila si ajabu ukakuta watu wanabadilishana watoto, kwa mfano kama familia moja ina watoto wa kiume wengi na ina badilishana na familia yenye watoto wa kike wengi. Na mtoto akiletwa hivyo anatunzwa kama mtoto mwingine wa familia ile.

Kwa watu wa Mosuo hakuna matatizo kama haya ambayo ni uzao wa mfumo wetu mbovu:

1. Hakuna yatima,
2. Kamwe hakuna ugomvu wa mme na mke, au ugomvi wowote unaohusiana na mapenzi
3. Hakuna kupeana talaka
4. Hakuna kuoneana wivu

Na matatizo mengi mno mengine yamefutika .... Na kwa namna hiyo Musuo society inaweza kuwa the most stable societies in the world.

Umeelewa hata kidogo sasa mamii? Au niendelee kukutafunia wa umeze tu?
 
Dogo Gudboy haya yapo sana mtu akiona mpya miyeyusho anarudi kwa yule yule wa zamani ndo maana iwa nasema mahawala iwa hawaachani kamwe. Yeah iwa tuna compare mapenzi na kila kitu mautundu kunako lazima uangalie je wanazidiana vp na yule Kigoma je huyu wa Lindi ana kosa nini.
Ndugu yangu Fidel,
USHAINGIA KWENYE duka la perfumes ukaanza kujaribisha kila uionayo?
Mwisho wake unakuwaje?Nadhani unakuwa hujui tena ipi ni nzuri na ipi si mali kitu!Hivyo hivyo na mapenzi..ukizoea kuonjaonja utakuja kujikuta hata huelewi ladha ya penzi la kweli ni ipi.

Ukiskia kengele tulia na wako... acha kupenda mchuzi wa pilipili. kwa mama lishe.....kula nyumbani kwa mkeo.
 
...pamoja na kwamba kuna ukweli katika hilo, nawashauri wapunguze wenye tabia hizo kwani hupelekea kupunguza mapenzi bila kukusudia...

Kila mtu ameumbwa kwa namna yake na mapungufu yake. Kila umpataye atakuwa na majaaliwa yake na mapungufu yake, kama ulivyo mwenyewe, hujakamilika kwa vyote!...
Hili huwa tunalisahau sana tunaishia kuishi kuhangaika kutafuta mtu aliye perfect kumbe wala hayupo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom