Kumbe Wanyakyusa Wanafanana sana ......

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,061
Hawa watu wanafanana kuanzia majina hadi sura.

Davis Mwamunyange:
Davis.jpg


George Ambwene Mwakalinga aka Mtanzania:
attachment.php



Dr. Harrison George Mwakyembe:
richmond.jpg



George Mwakalinga mpenzi wa WEKUNDU (huyu mama yake sijui wa wapi).....


Mwakalinga walivyo wengi, DUUUU!!!!!!! Hawa chini wote ni Family??!!
http://www.facebook.com/family/Mwakalinga/1


Kwa nini msianze na nyie kuiga majina kama Makonde?

Nasikia mmoja kashajiita tayari Barack Obama na mdogo wake kampa jina la Mark Ndesadjo Obama. MWaka mmoja tu mtakuwa na sir name tofauti. Poleni sana watani wangu kwa shida ya kuchanganywa majina wakati mwingine.
 
Bujibuji, unaweza kurudi Pugu Road maana wengine Kinyakyusa is not richable....
 
Hawa watu wanafanana kuanzia majina hadi sura.

Davis Mwamunyange:
Davis.jpg


George Ambwene Mwakalinga aka Mtanzania:




Dr. Harrison George Mwakyembe:
richmond.jpg



George Mwakalinga mpenzi wa WEKUNDU (huyu mama yake sijui wa wapi).....

Prof. Mark Mwandosya
461.png


Mwakipesile%20RC%282%29.jpg

Hon. John Mwakipesile.



14114two.jpg

GEdion Cheyo


1.JPG

Prof David Mwakyusa (left)

sigonda

Dr. Guido Gorogolio Sigonda
Mpesya.jpg

Benson Mpesya
3264%255B1%255D.jpg


GODFREY ZAMBI
 
Je kufanana kwao are they coming from the same district or belong to the same clan ? or cos they produce and eat almost the same type of food ?
 
Sikonge na wenzako, Labda mngetueleza ni nini wanachofanana zaidi?

Kijana, mwenye macho haambiwi tazama.

Mie niliandika zaidi kuhusu hao watatu kufanana sura na wa mwisho kufanana jina. Wote wanaanzia na MWA..... na wanapenda sana jina la George kama unavyoona hapo juu. Na mwisho, wote ni Waafrika kweli kasoro wawili watatu na kama hujasikia, huko Mbeya Mikorogo ina soko sana. Sijui kwa nini dada zao wanafikiri dunia nzima ni Wanyamwezi (weupe unaongeza mang'ombe eti).....
 
Hawa watu wanafanana kuanzia majina hadi sura.

Davis Mwamunyange:
Davis.jpg


George Ambwene Mwakalinga aka Mtanzania:




Dr. Harrison George Mwakyembe:
richmond.jpg



George Mwakalinga mpenzi wa WEKUNDU (huyu mama yake sijui wa wapi).....

Prof. Mark Mwandosya
461.png


Mwakipesile%20RC%282%29.jpg

Hon. John Mwakipesile.




14114two.jpg

GEdion Cheyo


1.JPG

Prof David Mwakyusa (left)

sigonda

Dr. Guido Gorogolio Sigonda
Mpesya.jpg

Benson Mpesya
3264%255B1%255D.jpg


GODFREY ZAMBI


Hawa ambao majina yao hayajaanzia na Mwa..(Gidion Cheyo, Dr Sigonda, Benson Mpesya na Godfrey Zambi) sio Wanyakyusa.

Note: Sio kila mtu mwenye asili ya mkoa wa mbeya ni mnyakyusa, kuna Wandali, wanyia n.k.
 
BwaSKonge naona umeishiwa sasa.

Usije ukasema nimefulia kama Homeboy wangu Mashaka Matongo aka Abiola.

Kufilisika si kilema, ni matatizo ya dunia (Mzee Makassy).

Mkuu, kuna mada imefichwa humo ndani.
 
Hawa watu wanafanana kuanzia majina hadi sura.

Davis Mwamunyange:
Davis.jpg


George Ambwene Mwakalinga aka Mtanzania:




Dr. Harrison George Mwakyembe:
richmond.jpg



George Mwakalinga mpenzi wa WEKUNDU (huyu mama yake sijui wa wapi).....

Prof. Mark Mwandosya
461.png


Mwakipesile%20RC%282%29.jpg

Hon. John Mwakipesile.




14114two.jpg

GEdion Cheyo


1.JPG

Prof David Mwakyusa (left)

sigonda

Dr. Guido Gorogolio Sigonda
Mpesya.jpg

Benson Mpesya
3264%255B1%255D.jpg


GODFREY ZAMBI
Mlichosahau kuwa si kila anaetoka Mbeya kama Mkoa ni mnyakyusa....wilaya zenye wanyakyusa ni mbili tu, Rungwe na Kyela.
hao kina Zambi, Mpesya,sigonda, Cheyo si Wanyakyusa, labda jina la thread, lingesema wanao toka Mbeya wote wanafanana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom