Wanabodi,
Kumbe propaganda dhidi ya CCM ni mpango wa baadhi wa watu ambao wapo upinzani lakini bado wanamiliki kadi za CCM ili kupima upepo wa wananchi. Ndio maana wao wanamiliki kadi za CCM na za vyama vyao vipya.
Swali: Mbona wao wanapopata wanachama wapya wanazichukua kadi za CCM na kuzichoma moto wakati mwingine hadharani lakini wao hawarudishi eti wanataka ile kumbukumbu!!Mie naona nirudi CCM tu... kule kwingine basi tena kumbe tulipotoshwa.
Nawasililisha