Elections 2010 Kumbe waliomchagua raisi ni 27%

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Lipumba anasema iyo ndo asilimia ya watu waliomchagua raisi ni aibu.
Kaitupia lawama NEC na kuhoji uwezo wao na uhuru wa tume.
Naona wana CCM wanapiga kerere ila msg sent
Amkabidhi JK ilani ya CUF
 
Vyama vingine vya upinzani ni Wanafiki. Kwa nini hawako tayari kusema kwa pamoja uchaguzi haukuwa wa haki?
 
na bado,wengine wanamacho ila wanajifanya ni vipofu..kazi kwenu :A S angry:
 
Kama Rais kachaguliwa na 27% ya watanzania kwahiyo anaridhaa ya kutawala ya watu milloni kumi na laki nane TU!! How can he claim to be a popularly elected pres!! Mind you ndani ya hiyo 27% zimo kura zilizochakachuliwa; hawezi kutawala kwa amani!!
 
Kama Rais kachaguliwa na 27% ya watanzania kwahiyo anaridhaa ya kutawala ya watu milloni kumi na laki nane TU!! How can he claim to be a popularly elected pres!! Mind you ndani ya hiyo 27% zimo kura zilizochakachuliwa; hawezi kutawala kwa amani!!
Waliomchagua siyo 27% ya watanzania ila ni 27% ya waliojiandikisha ! kama unataka % ya watu wote basi fanya 5,276,827/40,000,000 * 100= 13%. Kwa maana hiyo waliompigia kura Kikwete ni 13% ya Watanzania!
 
Vyama vingine vya upinzani ni Wanafiki. Kwa nini hawako tayari kusema kwa pamoja uchaguzi haukuwa wa haki?

Huo ndo ukweli nyama vingine vinafiki. CUF wameshazibwa mdomo na mwafaka usitegemee watatoa tamko. Watanzania tunaiopenda nchi yetu tujitahidi kuwasaidia CHADEMA kiweze kusimama na kuwa chama imara make wameonekana wako makini na wanachokifanya.

Nawasihi viongozi wa CHADEMA wasilale bali kazi yao ndani ya miaka mitano iwe ni kuwaamsha watanzania hasa vijijini ambako bado wamelala. Wananchi muda wote tuwe tayari kuwachangia kwa hali na mali. Watanzania tuna tabia ya kufanya vitu kwa zima moto kama yunavofanya kwenye timu ya soka ya taifa. Nchi zingine ambazo ziko active kisiasa uchaguzi ukiisha umeanza uchaguzi mwingine. Kama asillimia 27 ndo wamepiga kura manake ni kuwa tukiwaamsha asilimimia nyingine 27 wakapiga kura kwa upande wa mabadiliko 2015 CCM wataaga ikulu wenyewe.
Kila mwanamageuzi kokote aendako iwe ni kijijini kwao ajitahidi kusambaza habari za mabadiliko. Kazi hii tusiwaachie tu wanasiasa na kumtegemea Dokta Slaa au wabunge waliochaguliwa.
Tuamake wote tubadilishe nchi yetu. Hii nchi ina hali mbaya mno miaka michache ijayo CCM isipoondoka. Firkiria vijana kwenye shule za kata. Wataenda wapi?
 
Vyama vingine vya upinzani ni Wanafiki. Kwa nini hawako tayari kusema kwa pamoja uchaguzi haukuwa wa haki?

Hivi hujui kuwa baadhi ya vyama vya siasa ni matawi ya ccm? kama hufahamu basi fuatilia kwa umakini. kuna wagombea wawili wa urais mwaka huu wapo kwenye payroll ya makamba. leo baada ya matokeo kutangazwa walijitokeza kumpongeza kikwete. walikuwa wagombea njaa tu lengo lao kubwa ni kupunguza kura za upinzani. hata zanzibar walikuwepo pia.
 
Mugahywa na ustaadh Rungwe.
Kwanza wote hawa wamefanya kampeni zao dar tu. Dovutwa anajulikana siku nyingi kuwa ni kuwadi wa Mkwere
 
Hawa wengine naona walikuwa wanaimprove CV zao.
27% inatokana na watu 20,137,303 ya waliojiandikisha tena unapata 26% naona prof alitulisha sumu kidogo.
Make 73% ya waliojiandikisha hawamtaki JK awe Raisi
 
Kwa CCM wao ni bora wameshinda ingawa si kwa kishindo
 
Back
Top Bottom