na bado,wengine wanamacho ila wanajifanya ni vipofu..kazi kwenu :A S angry:
Waliomchagua siyo 27% ya watanzania ila ni 27% ya waliojiandikisha ! kama unataka % ya watu wote basi fanya 5,276,827/40,000,000 * 100= 13%. Kwa maana hiyo waliompigia kura Kikwete ni 13% ya Watanzania!Kama Rais kachaguliwa na 27% ya watanzania kwahiyo anaridhaa ya kutawala ya watu milloni kumi na laki nane TU!! How can he claim to be a popularly elected pres!! Mind you ndani ya hiyo 27% zimo kura zilizochakachuliwa; hawezi kutawala kwa amani!!
Vyama vingine vya upinzani ni Wanafiki. Kwa nini hawako tayari kusema kwa pamoja uchaguzi haukuwa wa haki?
Vyama vingine vya upinzani ni Wanafiki. Kwa nini hawako tayari kusema kwa pamoja uchaguzi haukuwa wa haki?