Kumbe Wakenya Walihusika Kwenye Milipuko ya Kampala!

am not suprised!from experience ya kuishi nao wakenya wana roho ngumu kweli!
 
am not suprised!from experience ya kuishi nao wakenya wana roho ngumu kweli!

Kama ndio hivyo, basi sioni haja ya kupeleka Jeshi Somalia ni kupoteza mda!!! Utaendaje Somalia ku-hunt Al Shaabab, wakati wanaishi Nairoberry??
 
Kwani wamepeleka jeshi baada ya mlipuko?

Mkuu, baada ya milipuko, M7 na baadhi ya nchi za kiafrika wanampango wa kupeleka majeshi zaidi Somalia ili kuwamaliza Al Shabaab!, sasa kama Al Shabaab wenyewe wanaishi Nai..bi na ni raia waKenya, huoni kama itakuwa ni kazi bure?
 
Back
Top Bottom