kumbe wakati wa kusalimiana hairuhusiwi kusimama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kumbe wakati wa kusalimiana hairuhusiwi kusimama

Discussion in 'Jamii Photos' started by figganigga, Jan 8, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Mia
   
 2. Novatus

  Novatus JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 331
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hIVI HUWEZI KUONA KUWA sHEIKH ANA MAGONGO? SASA ASIMAME KWA NINI???
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kusoma hujui, picha pia huoni
   
 4. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mufti Mkuu ni mgonjwa;maradhi yamemsonga lakini inshaalah Mwenyezi Mungu atampa nguvu ya kuendelea kuwatumikia Waislam kwa uaminifu kama atakavyo yeye.

  BTW Mufti huwa anaweza kuachia wadhifa wake kwa sababu yoyote ile? Au naye kama Pope Benedicto hadi afe akiwa madarakani?
   
 5. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  '' hawatakubali mayahudina manasara mpaka muwafuate nyayo zao au mila zao''
   
 6. n

  nasri athumani Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli kaka niw2 wabaya sana
   
Loading...