Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Jana nikiwa matembezini nilikutana na baba mmoja raia wa Ghana. Amekuja kwa safari binafsi Tanzania. Yeye ni mwana historia lakini Alisoma pia na political economics mwanasiasa pia.
Alinieleza kuwa safari yake Tanzania ni kama kwenda hijja. Wa Ghana wanaiheshimu Tanzania kuwa ni chimbuko la ubinadamu kwakua mtu wa kwanza kuishi ulimwenguni aliishi Oldupai George.
Anakasirika sana wazungu wanavyo potosha historia ya mtu mweusi. Aliniambia wao wamekataa kuliita Ziwa Victoria jina hilo. Wao wanaliita Lake of Africa.