Kumbe uzuri wa mwanamke akiwa na Nguo tu

Watu kwa vitisho hamjambo laana gani aibebe amekwambia yeye anaamini dini?
Je kama ni atheist utasema nini shenzy kabisa ashasema ni mbaya habari za maulana na laana ni zako wewe na nduguzo
Mkuu umenitukana bure ujue!

Katika maelezo yangu niliweka viwanja vitatu vya ufahamu, niligusia sehemu zote ambazo wewe uliyodhani sikuzigusa.

Hapo nilitaja dini, nikataja sayansi na pia utu.

Kama yeye huyo jamaa unayemtetea ni pagani, hawezi kusema umbo fulani baya, wakati sura yake kwa watu wengine wanamuona kama kenge mmoja.

Haujasikia wazungu wanakuita wewe ni sokwe? Je unafurahishwa na kauli hiyo?

Dunia iache iitwe dunia, sababu huwachagulia binadamu sura za kuwavisha.

Ni vyema tukastahimiliana maumbile yetu tuliyoshitukia tu tunayo.

Uwe na dini usiwe na dini lakini wewe ni binadamu, bagua maneno ya kuwatamkia wengine.
 
Hivi ukisha sema huyu ni mbaya au huyu ni mzuri then what? Unaongea siku za kuishi au pesa zaidi au unafaidika na nini...
You're not right sir, ukweli huu ni mchungu mtu kama ni mlemavu tusiseme? Mtu kama ni mbaya kwa sura, umbo au chochote tusiseme pia kwa kuhofia nadharia za kwenye vitabu?
Kusema tutasema na haitokaa ikome
 
Kama uzuri wa mwanamke ni akiwa na nguo huwa tunatamani kuwavua nguo ili iwejee! Mwanamke anakuwa mzuri na kuvutia zaidi akiwa mtupu aisee!
 
Unaongelea yule mwenye mabonde mabonde
Ni cellulite zile....zina affect wanawake weeeeengi saaana duniani ni jambo la kawaida tu. Inategemea na mtu na mtu kuna watu wanaweza wakawa ni wanene na wasiwe nazo na kuna watu wembamba wanazo.

Kadri mtu anavyokua na umbile kubwa as in hips and butt ndivyo anavyokua na urahisi wa kupata cellulite.

Ila wanawake wengi sana duniani wanazo hadi mkali wetu serena williams anazo.

Zile huwa hazitoki hadi ufanye procedure ya kuzi massage na kifaa maalum na hiyo procedure huwa inafanywa na certified plastic surgeons.View attachment 1235943
Hiziii
images%20(40).jpeg
images%20(31).jpeg
 
Yule menina ukimuangalia kwa nyuma kuanzia kiunoni mpaka magotini yupo kama box la ufresh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom