meba
Member
- May 5, 2012
- 99
- 9
Chuo kikuu cha St Augustine emeonyesha kuwa ni moja yapo ya chuo inaongozwa na viongozi wazembe sana. Tokea Dr Kitima ameondoka mwaka huu chuo inaonekane imepwaya sana na cha ajabu, mfano mzuri ni juzi tu jumamosi katika mahafali ya 15 ndipo uzembe mkubwa ulitokea, kwani vitabu vya majina vilitolewa lakini ilionyesha kabisa kuna baadhi ya programs hazionekani na majina ya baadhi ya wanafunzi hayaonekani kitu kilichowapelekea wanahitimu hao kusimamisha makamu mkuu wa chuo na kumuuliza kwanini majina yao hayaonekani.
Hii ni aibu kwa makamu wa chuo kusimamishwa siku ya sherehe mbele ya wageni lukuki, nionyesha ni kwa jinsi gani Dr Mgeni katikakipindi kichache tu ameshindwa kuongoza chuo, na sasa kwanini asijuuzulu au kwanini baraza la maskofu wasimsimamishe kazi? hata kesho yake chuo ilishindwa kutoa trascrips kwa wahitimu halafu uongozi inasema wanafunzi wasubirie mpaka watakapo tangaziwa.
Sasa kama wanashindwa kutoa transcrips kwa wakati wahitimu wataombaje kazi? mbona vyuo vingine walipata transcrips mapema SAUT kuna nini? kwa hali hii chuo kitakufa muda si mrefu.
NAOMBA DR MGENI AJIUZULU TU AMESHINDWA KAZI. kazi kwenu saut.