Kumbe uzembe haupo serikalini hata SAUT kuna uzembe zaidi hata ya serikali

meba

Member
May 5, 2012
99
9
Chuo kikuu cha St Augustine emeonyesha kuwa ni moja yapo ya chuo inaongozwa na viongozi wazembe sana. Tokea Dr Kitima ameondoka mwaka huu chuo inaonekane imepwaya sana na cha ajabu, mfano mzuri ni juzi tu jumamosi katika mahafali ya 15 ndipo uzembe mkubwa ulitokea, kwani vitabu vya majina vilitolewa lakini ilionyesha kabisa kuna baadhi ya programs hazionekani na majina ya baadhi ya wanafunzi hayaonekani kitu kilichowapelekea wanahitimu hao kusimamisha makamu mkuu wa chuo na kumuuliza kwanini majina yao hayaonekani.

Hii ni aibu kwa makamu wa chuo kusimamishwa siku ya sherehe mbele ya wageni lukuki, nionyesha ni kwa jinsi gani Dr Mgeni katikakipindi kichache tu ameshindwa kuongoza chuo, na sasa kwanini asijuuzulu au kwanini baraza la maskofu wasimsimamishe kazi? hata kesho yake chuo ilishindwa kutoa trascrips kwa wahitimu halafu uongozi inasema wanafunzi wasubirie mpaka watakapo tangaziwa.

Sasa kama wanashindwa kutoa transcrips kwa wakati wahitimu wataombaje kazi? mbona vyuo vingine walipata transcrips mapema SAUT kuna nini? kwa hali hii chuo kitakufa muda si mrefu.

NAOMBA DR MGENI AJIUZULU TU AMESHINDWA KAZI. kazi kwenu saut.
 
Kujiuzuru sio rahisi hivyo! Jaribu kuangalia mambo mengine sensitive na sio these pretty trivial issues like Names and Transcripts; These are not core matters of the University Meba.
 
Mpeni muda zaidi kwani akipata experience mtaelewa kwamba ana uwezo mkubwa wa kuongoza SAUT. Practice makes perfect!
 
Chuo kikuu cha St Augustine emeonyesha kuwa ni moja yapo ya chuo inaongozwa na viongozi wazembe sana. Tokea Dr Kitima ameondoka mwaka huu chuo inaonekane imepwaya sana na cha ajabu, mfano mzuri ni juzi tu jumamosi katika mahafali ya 15 ndipo uzembe mkubwa ulitokea, kwani vitabu vya majina vilitolewa lakini ilionyesha kabisa kuna baadhi ya programs hazionekani na majina ya baadhi ya wanafunzi hayaonekani kitu kilichowapelekea wanahitimu hao kusimamisha makamu mkuu wa chuo na kumuuliza kwanini majina yao hayaonekani.

Hii ni aibu kwa makamu wa chuo kusimamishwa siku ya sherehe mbele ya wageni lukuki, nionyesha ni kwa jinsi gani Dr Mgeni katikakipindi kichache tu ameshindwa kuongoza chuo, na sasa kwanini asijuuzulu au kwanini baraza la maskofu wasimsimamishe kazi? hata kesho yake chuo ilishindwa kutoa trascrips kwa wahitimu halafu uongozi inasema wanafunzi wasubirie mpaka watakapo tangaziwa.

Sasa kama wanashindwa kutoa transcrips kwa wakati wahitimu wataombaje kazi? mbona vyuo vingine walipata transcrips mapema SAUT kuna nini? kwa hali hii chuo kitakufa muda si mrefu.

NAOMBA DR MGENI AJIUZULU TU AMESHINDWA KAZI. kazi kwenu saut.
Hiyo ni hujuma dhidi ya Dr Mgeni. Ni njama za yule aliyekuwa akiandaliwa kumrithi Dr Kitima na katika dakika za mwisho akaonekana hafai!
 
Mpeni muda zaidi kwani akipata experience mtaelewa kwamba ana uwezo mkubwa wa kuongoza SAUT. Practice makes perfect!
Ni kweli anapaswa kupewa muda zaidi maana bado ni mgeni katika hiyo nafasi, hivyo anavyozidi kukutana na changamoto kama hizi ndo anazidi kuwa makini na uendeshaji wa chuo hasa watendaji wake. Najua baada ya hili tukio lazima afumbue macho kwa watendaji wake.
 
Chuo kikuu cha St Augustine emeonyesha kuwa ni moja yapo ya chuo inaongozwa na viongozi wazembe sana. Tokea Dr Kitima ameondoka mwaka huu chuo inaonekane imepwaya sana na cha ajabu, mfano mzuri ni juzi tu jumamosi katika mahafali ya 15 ndipo uzembe mkubwa ulitokea, kwani vitabu vya majina vilitolewa lakini ilionyesha kabisa kuna baadhi ya programs hazionekani na majina ya baadhi ya wanafunzi hayaonekani kitu kilichowapelekea wanahitimu hao kusimamisha makamu mkuu wa chuo na kumuuliza kwanini majina yao hayaonekani.

Hii ni aibu kwa makamu wa chuo kusimamishwa siku ya sherehe mbele ya wageni lukuki, nionyesha ni kwa jinsi gani Dr Mgeni katikakipindi kichache tu ameshindwa kuongoza chuo, na sasa kwanini asijuuzulu au kwanini baraza la maskofu wasimsimamishe kazi? hata kesho yake chuo ilishindwa kutoa trascrips kwa wahitimu halafu uongozi inasema wanafunzi wasubirie mpaka watakapo tangaziwa.

Sasa kama wanashindwa kutoa transcrips kwa wakati wahitimu wataombaje kazi? mbona vyuo vingine walipata transcrips mapema SAUT kuna nini? kwa hali hii chuo kitakufa muda si mrefu.

NAOMBA DR MGENI AJIUZULU TU AMESHINDWA KAZI. kazi kwenu saut.

Una Ajenda Ya Siri na Chuo Chetu na Hutaweza Kwani Jumamosi Iliyopita Mliohitimu Jumla Mlifikia 1,150 Kuanzia Shahada Ya Kwanza, Shahada Ya Uzamili na Shahada Ya Uzamivu Sasa Iweje Wote Hao Wasilalamike Uje Ulalamike Wewe Tu ----- Nazi? Kwanza Kwa Upuuzi HUU SIDHANI KAMA UNA AKILI na UPEO wa KUSOMA SAUT. Si Uhamie tu Vyuo Vingine Mnavyosoma Mpaka Nje Ya Majengo Kwa Kujazana Kama Wafungwa ndani Ya Gereza na Walimu Wao Hutumia VIPAZA SAUTI VILE VYA WAMACHINGA PALE ILALA MCHIKICHINI? Kwa Taarifa Yako tu Hilo Tatizo Limesharekebishwa na Maisha Yanaendelea na Wewe baki hivyo hivyo na UHAFIDHINA Wako. SAUT Itabaki Kuwa Juu Daima na Tunajivunia Kuwa Wana SAUT ( We Build the City of God ).
 
Mleta mada sijui hata ana lengo gani???Kwa kifupi Dr.Mgeni yuko smart sana,hivyo kwa upeo wa mleta mada hawezi kumuelewa.
 
Chuo kikuu cha St Augustine emeonyesha kuwa ni moja yapo ya chuo inaongozwa na viongozi wazembe sana. Tokea Dr Kitima ameondoka mwaka huu chuo inaonekane imepwaya sana na cha ajabu, mfano mzuri ni juzi tu jumamosi katika mahafali ya 15 ndipo uzembe mkubwa ulitokea, kwani vitabu vya majina vilitolewa lakini ilionyesha kabisa kuna baadhi ya programs hazionekani na majina ya baadhi ya wanafunzi hayaonekani kitu kilichowapelekea wanahitimu hao kusimamisha makamu mkuu wa chuo na kumuuliza kwanini majina yao hayaonekani.

Hii ni aibu kwa makamu wa chuo kusimamishwa siku ya sherehe mbele ya wageni lukuki, nionyesha ni kwa jinsi gani Dr Mgeni katikakipindi kichache tu ameshindwa kuongoza chuo, na sasa kwanini asijuuzulu au kwanini baraza la maskofu wasimsimamishe kazi? hata kesho yake chuo ilishindwa kutoa trascrips kwa wahitimu halafu uongozi inasema wanafunzi wasubirie mpaka watakapo tangaziwa.

Sasa kama wanashindwa kutoa transcrips kwa wakati wahitimu wataombaje kazi? mbona vyuo vingine walipata transcrips mapema SAUT kuna nini? kwa hali hii chuo kitakufa muda si mrefu.

NAOMBA DR MGENI AJIUZULU TU AMESHINDWA KAZI. kazi kwenu saut.

jaman yan VC ajiuzulu kisa majina ya watu hayajaonekana kwenye kitabu,mbona hilo ni kosa dogo sana?,hv kama ingekuwa hvyo mbona hcho chuo kingekuwa na ma vc hata mia mbili?,pili swala la transcript me navyojua uandaaji wake unahtaj umakini wa hali ya juu ikiwa ni pamoja na ku calculate GPA ya kila mhitimu pamoja na kusign,sasa fikiria mfano kuna wahitimu elf tatu je wewe binafsi unaweza ifanya hyo kazi kwa siku moja?,tubadirike jaman,mimi mwenyewe nilimaliza hapo mwaka juzi hali ilikuwa hvyohvyo!
 
Nakushukuru Kamanda Hebu Mweleweshe Huyo NGUMBARU aliyeanzisha Hili Suala.
 
Sasa huu upuuzi wenu wa kwenye hvo vyuo vyenu vya mchangani sisi unatuhusu nin?
 
Una Ajenda Ya Siri na Chuo Chetu na Hutaweza Kwani Jumamosi Iliyopita Mliohitimu Jumla Mlifikia 1,150 Kuanzia Shahada Ya Kwanza, Shahada Ya Uzamili na Shahada Ya Uzamivu Sasa Iweje Wote Hao Wasilalamike Uje Ulalamike Wewe Tu ----- Nazi? Kwanza Kwa Upuuzi HUU SIDHANI KAMA UNA AKILI na UPEO wa KUSOMA SAUT. Si Uhamie tu Vyuo Vingine Mnavyosoma Mpaka Nje Ya Majengo Kwa Kujazana Kama Wafungwa ndani Ya Gereza na Walimu Wao Hutumia VIPAZA SAUTI VILE VYA WAMACHINGA PALE ILALA MCHIKICHINI? Kwa Taarifa Yako tu Hilo Tatizo Limesharekebishwa na Maisha Yanaendelea na Wewe baki hivyo hivyo na UHAFIDHINA Wako. SAUT Itabaki Kuwa Juu Daima na Tunajivunia Kuwa Wana SAUT ( We Build the City of God ).

We nawe wa wapi!!? hujui hata kwenye mahafali ya 15 wamehitim wangapi? kwa taarifa yako ni zaid ya elfu 3
 
Chuo kikuu cha St Augustine emeonyesha kuwa ni moja yapo ya chuo inaongozwa na viongozi wazembe sana. Tokea Dr Kitima ameondoka mwaka huu chuo inaonekane imepwaya sana na cha ajabu, mfano mzuri ni juzi tu jumamosi katika mahafali ya 15 ndipo uzembe mkubwa ulitokea, kwani vitabu vya majina vilitolewa lakini ilionyesha kabisa kuna baadhi ya programs hazionekani na majina ya baadhi ya wanafunzi hayaonekani kitu kilichowapelekea wanahitimu hao kusimamisha makamu mkuu wa chuo na kumuuliza kwanini majina yao hayaonekani.
Hii ni aibu kwa makamu wa chuo kusimamishwa siku ya sherehe mbele ya wageni lukuki, nionyesha ni kwa jinsi gani Dr Mgeni katikakipindi kichache tu ameshindwa kuongoza chuo, na sasa kwanini asijuuzulu au kwanini baraza la maskofu wasimsimamishe kazi? hata kesho yake chuo ilishindwa kutoa trascrips kwa wahitimu halafu uongozi inasema wanafunzi wasubirie mpaka watakapo tangaziwa.

Nawewe umegraduate? Mbona sentensi zako hazina hata upatanisho wa kisarufi kati ya neno moja na jingine?
 
Mr. Hope inaonekana wajua system ya saut vyema. Unajua hata mrithi alikuwa nani, na dakika za mwisho akaonekana hafai. Wakikujua utasepa
 
Back
Top Bottom