Kumbe unaweza kuwa mpweke katikati ya kundi la watu

naomba niseme wazi na bila kificho hili bandiko ni kwa ushauri wa kakaangu Gwappo Mwakatobe ...! Last week tulikuwa na mjadala na katikati ya mkadala wetu akasema hivi nanukuu ...unajua Mshana unaweza kuwa mpweke katikati ya kundi la watu..!
Nilishikwa na ganzi kwa sekunde kadha.. Nikamwambia brother umeongea kitu kikubwa sana.. Na nitakiandikia mada kamili!
Tunaishi katikati ya upweke.. Haijalishi wewe ni nani na una nini.. Upweke upo hata kwa dakika chache

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app

Miaka ya nyuma iliyopita i.e 25+ yrs back, bibi yetu alikuwa anatuamba watu wote wamekufa. Tulikuwa hatumuelewi. Lkn siku zinavyoenda naanza kumuelewa, licha ya kuwa yeye alitangulia mbele ya haki.
 
Hakika kweli ukisimama na Mungu hata zile nyakati ambazo unaona mwisho kbisa Mungu hufanya wepesi
Ila jamani upweke Mungu atuondoshee kuna nykati unakua mpweke hadi huelewi maana unaona upweke ulionao unaweza kuamia hadi kwenye kizazi chako. Hii mada daaah
Shukran
Mungu atutie nguvu na kuzidi kutupa hekima ya kuponya maumivu mengi na kufuta machozi ya wengi

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Yaaani.....
Mimi sasa nahisi huwa inakuwa shida zaidi maana nakuwaga ni visa

Sasa ili nisiendelee kukwazika au kuwakwaza watu naweza kushida chumbani siyo ndani.. ni chumbani siku nzima na zaidi. Hapo hata hewa ya nje siijui...

Kuna mtu siku moja nilimuuliza akaniambia Wanawake karibia wote huwa mna hiyo hali.. Pale tunapokaribia kwenye yale mambo yetu..

Nikamjibu Mimi mbona hata nikiwa sipo karibu au kutoka hiyo hali inakuja tu.. hakunipa jibu lililonirudhisha..
Tutaongelea hili
 
Mshana Jr
Hii Issue ya kuwa mpweke inaweza kuendana na ile hali ya kuwa "Off mood."
Maana mimi Binafsi kuna hali naweza kuwa nayo kwa wakati fulani.. Naweza kuwa sitaki tu usumbufu wa kitu chochote hata mtu kunisemesha sitaki..

Sasa hii Tunaiitaje?
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom