Kumbe unaweza kuwa mpweke katikati ya kundi la watu

Upweke
Screenshot_20210831-145856.jpg
 
baby zu I know that feeling wengi wamepitia na yakapita.. Wengine bado wanapitia lakini Inshallah Mungu yupo..hakuna marefu yasiyo na mwisho kikubwa ni kutokata tamaa na kujiona hufai ah huna thamani.. Hizo ni sumu mbaya sana

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Hakika kweli ukisimama na Mungu hata zile nyakati ambazo unaona mwisho kbisa Mungu hufanya wepesi
Ila jamani upweke Mungu atuondoshee kuna nykati unakua mpweke hadi huelewi maana unaona upweke ulionao unaweza kuamia hadi kwenye kizazi chako. Hii mada daaah
Shukran
 
Pole sana Jose lakini ni lazima ujue kila upweke una asili yake na misingi yake .. Sasa ni lazima na ni muhimu kufahamu aina ya upweke wa mtu ili kuepuka kutoa ushauri usio sahihi
Upweke mbaya ni ule wa hisia za mahusiano kukoma na kuachwa single,..upweke huu huambatana na maumivu makali ya moyo...yanauma Sana haha.
.unatamani akupigie hapigi
Unatamani akutext hafanyi hivyo.. Ila ikitokea tu ukasikia hata sauti yake tuu unajikuta na furaha tele



Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app

uko sahihi mkuu
 
naomba niseme wazi na bila kificho hili bandiko ni kwa ushauri wa kakaangu Gwappo Mwakatobe ...! Last week tulikuwa na mjadala na katikati ya mkadala wetu akasema hivi nanukuu ...unajua Mshana unaweza kuwa mpweke katikati ya kundi la watu..!
Nilishikwa na ganzi kwa sekunde kadha.. Nikamwambia brother umeongea kitu kikubwa sana.. Na nitakiandikia mada kamili!
Tunaishi katikati ya upweke.. Haijalishi wewe ni nani na una nini.. Upweke upo hata kwa dakika chache

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Imenishangaza kuona kitu nilichojadili na mtu wangu wiki ilopita nanyi mlipata kukizungumzia wiki hiyohiyo, Yuko mbali hivyo nikawa namwambia watu wapo wengi tu wamenizunguka ila bado najihisi mpweke sana😅
 
Back
Top Bottom